Rais SEKOMU avunja Baraza za la Mawaziri

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Rais Jacob Kitunga wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikukuu ya kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) kutokana na waziri mkuu liziki mashambwa aka mulokole fake kuandika barua ya kujiuzulu, kutokana na kushindwa kuhimili maswali ya wabunge vijana wa sekomuso wanaoiga siasa za majitaka na kutopewa ushirikiano mzuri ndani ya ofisi ya rais
 
Ndo nini hiki bwanamdogo hivi kwa uandishi huu upo chuo kikuu kweli.
 
ulieweka thread unatia aibu chuo coz unashindwa kuweka vizur mtiririko wa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…