Rais Jacob Kitunga wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikukuu ya kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) kutokana na waziri mkuu liziki mashambwa aka mulokole fake kuandika barua ya kujiuzulu, kutokana na kushindwa kuhimili maswali ya wabunge vijana wa sekomuso wanaoiga siasa za majitaka na kutopewa ushirikiano mzuri ndani ya ofisi ya rais