Rais ni Samia! Urais hauna ubia na mtu ye yote. Hakuna kikao cha taasisi ya Rais ambacho Rais anakuwa mwenyekiti wake! Rais ni alfa na omega kwa mujibu wa katiba ya nchi hii! Ushauri wo wote kwa Rais anaweza akaupokea na kuufanyia kazi au akaukataa na kuutupilia mbali!Rais ni taasisi!
Ni shida kiongozi, hapo ndo wanamzengo wanaposema tumepigwa tena.Inauma sana mkuu.
Jukumu ambalo mmewaachia wakina Mbowe,Lema,Lissu nkTunahitaji Katiba mpya.
Mimi nadhani kuna mama Yuko vizuri, Ila Kuna watu huwa wanahisi nafasi za teuzi Ni Mali yao, ko Magu hakufanya wanayotaka wanahisi Sasa Ni muda wao!Kwa katiba yetu ambayo rais ni semi god hivyo hakosei
Semi god wanakosea .GOD ndo hakosei atubu.ila mm naiman na mama alitereza tuKwa katiba yetu ambayo rais ni semi god hivyo hakosei
Tuna Rais ambae anasahau hata majina ya aliowateua na mikoa aliyowapa[emoji3][emoji3][emoji3]Semi god wanakosea .GOD ndo hakosei atubu.ila mm naiman na mama alitereza tu
Hawezi kalili kila mtu.Tuna Rais ambae anasahau hata majina ya aliowateua na mikoa aliyowapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu tunusuru
Sijakuelewa vizuriTuna Rais ambae anasahau hata majina ya aliowateua na mikoa aliyowapa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu tunusuru
Rais ni taasisi!
Yuko sahihi president wetu. Ni mbingu pekee zinaona na kuhukumu pale Rais anapokosea.Aliyempa hii kauli madam president, Mungu anamuona.
Acha ujinga, Kia waliangalia katikati ya Moshi na Arusha,KIA ni mjini
Kipawa ni mjini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio ila ikijaa vilaza ndio makosa kama ya kujenga INTERNATIONAL AIRPORT Chato tunayaona.
Umemaliza kila kitu mkuu wangu [emoji120][emoji120]Rais ni Samia! Urais hauna ubia na mtu ye yote. Hakuna kikao cha taasisi ya Rais ambacho Rais anakuwa mwenyekiti wake! Rais ni alfa na omega kwa mujibu wa katiba ya nchi hii! Ushauri wo wote kwa Rais anaweza akaupokea na kuufanyia kazi au akaukataa na kuutupilia mbali!
Hivyo lawama zote kwa Samia!