Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mama hivi , mama vile... unamwangalia huyu unamwona njaa inamsumbua na ameshamkana mama yake kwa sababu ya vipande 30 . Rais si mama wala baba yenu. mama yako akikusikia unaiya ita wa mama wa watu mama atakuona boya sana na unajikomba to the maximum.
Mnapomuongelea rais kwa cheo chake muiteni rais. mkiwa nyumbani kwake mnaweza mwita mama kwa heshima. lakini si kujikomba mara mama hivi, mara mama vile. it is very unprofessional na kujikomba kuliko pitiliza. naye atawachoka maana mnashindana kuonesha nani anajua kujikomba zaidi kuliko mwenzie.
Mwanaume mzima natembea amebeba picha ya rais na kila akiongea anataja taja mama, mama.... ni sawa na wale wanafiki ambao wana njaa kila akiongea atakuita mzee hivi, mzee vile. boss hivi boss vile....kuendekeza njaa na makombolezo. msidhani naye hawaoni ........anawaona na kuwadharau sana. anajua ni njaa na unafiki tu umewajaa.