Elections 2010 Rais slaa huyoooooo

Elections 2010 Rais slaa huyoooooo

Usituletee hadithi za manyani hapa, safari hii hakuna kesho, subiri tarehe 31 October 2010. halafu nenda huko vijijini watakuambia Rais wao nani 2010.

Eti wanasema Rais wao Kikwete, mbunge chadema au upinzani[source: Mwananchi]. Kwa hiyo Kikwete ndo Rais kwa kuwa hata wanachadema wanamuunga mkono.
 
Back
Top Bottom