A Amwanga JF-Expert Member Joined Jan 11, 2009 Posts 294 Reaction score 33 Aug 30, 2010 #41 Saharavoice said: Usituletee hadithi za manyani hapa, safari hii hakuna kesho, subiri tarehe 31 October 2010. halafu nenda huko vijijini watakuambia Rais wao nani 2010. Click to expand... Eti wanasema Rais wao Kikwete, mbunge chadema au upinzani[source: Mwananchi]. Kwa hiyo Kikwete ndo Rais kwa kuwa hata wanachadema wanamuunga mkono.
Saharavoice said: Usituletee hadithi za manyani hapa, safari hii hakuna kesho, subiri tarehe 31 October 2010. halafu nenda huko vijijini watakuambia Rais wao nani 2010. Click to expand... Eti wanasema Rais wao Kikwete, mbunge chadema au upinzani[source: Mwananchi]. Kwa hiyo Kikwete ndo Rais kwa kuwa hata wanachadema wanamuunga mkono.