Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Tatizo ni wenye dhamana hawana kazi ya kufanya.
Wanakushauri vby hawafanyi kazi wao, wanaofanyakaz ni watu wa kada za chini.
Kuhusu kupunguza maafisa Elimu ni kutafuta kick.
Wataka sifa kwako. Wanataka posho zao zisigiswe watu wa kada za chini hawana hata posho ya maji uhai ya 500.
Haohao wenye dhamana, wanaotumia mafuta ya Kodi zetu. Posho Hadi za simu. Wanalipiwa vitu vingi.
Ndgu Mh mtukufu Rais, Mama Hawa watu wasikudanganye. Miaka kadhaa huko walimdanganya Kikwete, Kwa mfano wakuu wa shule wakaunda kikundi Chao wakakiita Tahossa..
Wakalialia wapewe posho tsh250k kila mwezi. Mwl aanayehangaika na watoto Hana hata mia ya bodaboda.
Mh Rais Angalia usidanganye tena