Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Huyu naye anapewa sifa nyingi zisizo zake,ni kama yule mwendazake wa kwetu tuliambiwa anajenga kisima kikubwa cha kutoa nishati kwa pesa zetu sio mkopo.Meanwhile in Burkinafaso
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, anaongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa 50% na kupunguza mishahara kwa wabunge, mawaziri na wanasiasa wengine kwa 30%View attachment 3292221
Niger, Mali, Bukinabe ni Wanaume.Rais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili ya utawala wake.
Tinubu ataendelea kufanya kazi na wafanyakazi wake, na atarejea Nigeria baada ya wiki mbili.
Mitano tena kwa Tinubu
View attachment 3292205
Source: Swahili Times
Foursome za uzeeni.Mzee anataka akatafakari kwenye Hotel kali za paris na Pisi pembeni.
Kwa nn hakuja Serengeti au Zanzibar? Angeacha hizo dolla hapa hapa TanzaniaRais wa Nigeria, Bola Tinubu ameelekea Paris kwa ziara fupi, ambapo atatathmini utendaji wa serikali yake na kutathmini mafanikio ya mageuzi yanayoendelea.
Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Rais, imesema Rais Tinubu atatumia pia ziara hiyo kupanga mikakati kabla ya maadhimisho ya miaka miwili ya utawala wake.
Tinubu ataendelea kufanya kazi na wafanyakazi wake, na atarejea Nigeria baada ya wiki mbili.
Mitano tena kwa Tinubu
View attachment 3292205
Source: Swahili Times
Tumruhusu na Ruto aende kutafakari DubaiAnaenda kutafakari Mzee wa watu. 😁
Tukakuza uchumi wa Ndani, ndani ya afrika.Kwa nn hajuja Serengeti au Zanzibar? Angeacha hizo dolla hapa hapa Tanzania
Huyu atakuja kufa kwa ugoni kama Rais wao Sani Abacha aliyekufa kifuani kwa malaya katika Ikulu ya NigeriaMzee anataka akatafakari kwenye Hotel kali za paris na Pisi pembeni.
Hatuna pisi kali, tuna pisi zenye njaa kaliKwa nn hajuja Serengeti au Zanzibar? Angeacha hizo dolla hapa hapa Tanzania