BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 525
- 1,257
Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila hata kumpa haki ya kusikilizwa nk. Moja ya mapendekezo ni kumpeleka Jaji kwenye Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kile kilichodaiwa kuwa na chuki (hostility) dhidi ya Mawakili waliofika mbele ya Kamati kumuwakilisha Wakili Mwabukusi kwenye kesi yake.
Mbali na TLS, Mashirika ya Haki za Binadamu nchini, pia yamelaani kitendo hicho.✍🏼