Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Poor thinkingHivi wanasheria wana mchango gani ktk uzalishaji wa nchi hii? Kazi yao ni kuzalisha migogoro ila wale bila kufanya kazi. Hiyo TLS ingefutwa tu haina faida yoyote zaidi ya kuzalisha migogoro. Kuna vitaasisi ni vya vikundi vinavyokula bila tija kwa Taifa. Sheria ni kazi ya majungu na kujionesha wanajua vifungu, hivyo vifungu vyenu vinamlisha nani. Fani zingine hazina faida hapa duniani.
kamie huko, hawana wanachozalisha hao, kazi yao ni migogoro, fani ya hovyo kabisaKwenye nchi za South America , huyu Jaji angelikuwa historia
Familia 8 ndizo zinazounda ccm wengine ni machawaChama ccm kinazidi kustawi.....nyie kufeni tu🤣🤣🤣
Uko sahihi, na kadiri siku zinavyokwenda Sheria zinazidi kutekelezwa kwa utashi wa viongozi, na sio kama Sheria zilivyo. Na huu ukondoo wetu sioni ni wapi viongozi watakuwa na muda wa kutekeleza Sheria zinazowabana. Mpaka wamefikia hatua ya kutunga Sheria za kulipa wake wa wastaafu, basi Hali itazidi kuwa mbaya.
Kuna siku tutahangaika sana kupata watu waadilifu katika hii nchi.
Kwa taarifa yako kazi si lazima uzalishe bidhaa peke yake, Bali hata kutoa huduma ni kazi pia. Kwa mfano walimu wanafanya kazi, kwani ni bidhaa wanazalisha? Madaktari ni bidhaa gani wanazalisha?Hivi wanasheria wana mchango gani ktk uzalishaji wa nchi hii? Kazi yao ni kuzalisha migogoro ila wale bila kufanya kazi. Hiyo TLS ingefutwa tu haina faida yoyote zaidi ya kuzalisha migogoro. Kuna vitaasisi ni vya vikundi vinavyokula bila tija kwa Taifa. Sheria ni kazi ya majungu na kujionesha wanajua vifungu, hivyo vifungu vyenu vinamlisha nani. Fani zingine hazina faida hapa duniani.
Jiwe alikuwa ssshetani mkubwaMpaka 2025 ifike Mama Abdul atakuwa amejionesha rangi yake ilivyo. Mwanamke katili na mwenye visasi na mwisho wake ni mbaya.
Jiwe gizani pole vipi limengoa jicho au ulikuwa umeinama!!!we ndio umeyumba tena dish
Kumbe wewe ni bwabwakah
kamie huko, hawana wanachozalisha hao, kazi yao ni migogoro, fani ya hovyo kabisakbbb
kah
kamie huko, hawana wanachozalisha hao, kazi yao ni migogoro, fani ya hovyo kabisa
Shida sisiemu mnajamba hovyo hovyoMaji yamevurugika
Mkuu TLS ina meno nguvu ila haina viongozi wenye msimamo. Imekuwa compromised sana kama chama cha walimu!TLS hii haina meno
Hao unao wazungumzia hawatakuwa "waadilifu", labda kama unataka kuigeuza maana ya hilo neno.Wapo wachache sana na hawana nafasi katika utumishi wa umma. Siku zinavyozidi kwenda na wakaona watu wachafu kimaadili wanabarikiwa kwa uchafu wao, wataamua kuuweka kando uadilifu wao maana haulipi katika Tanzania ya leo.