Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

China pamoja na Idadi kubwa ya watu(population over a billion) inalipa karibia US$40 millioni wakati Marekani yenye idadi ndogo inalipa zaidi ya US$400 millioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…