Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja.
=============
President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House initially defended the post, then blamed it on a staffer.
 
Waafrika(watu weusi) tuna ujinga mwingi mnooo katika hilo tangazo, woote wamefanywa wanyamq, kuna waliofanywa punda, kuna nguruwe, zebra, ngiri, twigq etc, sawa obama kawa nyani, lakini hata biden ni nyani tena anakula ndizi.

Siku tukiacha kulia lia ubaguzi, huenda ubaguzi ukapunguwa kwa kiasi kikubwa mnoo..
Mtu anakutania pale anapoona panakuuma, akiona hauumia na haujali wala nini, anakosa nguvu.

Mashabiki wa soka huwa wanawazomea baadhi ya wachezaji ili wawatoe uwanjani, ukiwa unakosea kosea wanazidi kukuzomea, ila ukitulia ukawa unapatiq na ukaweka hata chuma 2, wanafunga mabakuli yao
 
Huyo ndio Trump kwenye Wwe.
1-Aliamsha waliokuwa wamenyamaza: Watu wa tabaka la chini na la kati walihisi angalau kuna mtu anawasikiliza.
2-Ujasiri wa maamuzi: Hakuwa mtu wa kusitasita; aliamua haraka, jambo ambalo wafuasi wake waliliona kama uongozi thabiti.
3-Aliutikisa mfumo wa kale: Alivunja desturi nyingi za siasa za “kusema vizuri bila kufanya.”
4-Aliweka maslahi ya nchi mbele (kwa mtazamo wake): America First iliwapa Wamarekani wengi hisia ya uzalendo wa kiuchumi.
5-Aliongeza mjadala wa wazi: Masuala yaliyokuwa chini ya kapeti yaliletwa hadharani.
 
😁😁😁
Kina Obama walimfanya Nini maana anawachukia balaa

Ila trump bhana ana wafanyia maraisi wenzake wa awali hivyo kweli !?
 
Mkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?
 
Rais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja.
=============
President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House initially defended the post, then blamed it on a staffer.
Ni hisia ZAKO TU mbona hujasema WENGINE ni wanyama na wazungu
 
Mkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?
Naam mkuu hao Hawaii kabisa nadhani walimchezea faulo katika ule uchaguzi ulio muweka Biden madarakani so mpaka Leo bado ana kisasi nao
 
Waafrika(watu weusi) tuna ujinga mwingi mnooo katika hilo tangazo, woote wamefanywa wanyamq, kuna waliofanywa punda, kuna nguruwe, zebra, ngiri, twigq etc, sawa obama kawa nyani, lakini hata biden ni nyani tena anakula ndizi.

Siku tukiacha kulia lia ubaguzi, huenda ubaguzi ukapunguwa kwa kiasi kikubwa mnoo..
Mtu anakutania pale anapoona panakuuma, akiona hauumia na haujali wala nini, anakosa nguvu.

Mashabiki wa soka huwa wanawazomea baadhi ya wachezaji ili wawatoe uwanjani, ukiwa unakosea kosea wanazidi kukuzomea, ila ukitulia ukawa unapatiq na ukaweka hata chuma 2, wanafunga mabakuli yao
NIlipoona wamarekani wengi wanalalamikia post ya Trump kuwa racist nilidhani ni kweli ni racist ila baada ya kuona full video ndio nimeelewa kuwa video sio racist
Black Americans ni watu ambao ni very sensitive na easy kufeel offended. Tangy walivyonyanyaswa na wazungu wamegoma ku move on. Tofauti na sisi huku Africa, hayo mambo ya ukoloni wengi tumeshaachana nayo na kufuata maisha yetu. Ila kule Marekani watu weusi Bado wanadeka. Ni kama bado wanajiona inferior
 
Tuna kaujinga fulani, hii kujiona inferior na wale superior ni ugonjwa mkubwa kwetu...
Tumezidi kulia lia mnooo, hata kwenye mambo ambayo hata hakuna jambo tunalia lia.
 
Mkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?
Waafrika(watu weusi) tuna ujinga mwingi mnooo katika hilo tangazo, woote wamefanywa wanyamq, kuna waliofanywa punda, kuna nguruwe, zebra, ngiri, twigq etc, sawa obama kawa nyani, lakini hata biden ni nyani tena anakula ndizi.

Siku tukiacha kulia lia ubaguzi, huenda ubaguzi ukapunguwa kwa kiasi kikubwa mnoo..
Mtu anakutania pale anapoona panakuuma, akiona hauumia na haujali wala nini, anakosa nguvu.

Mashabiki wa soka huwa wanawazomea baadhi ya wachezaji ili wawatoe uwanjani, ukiwa unakosea kosea wanazidi kukuzomea, ila ukitulia ukawa unapatiq na ukaweka hata chuma 2, wanafunga mabakuli yao
Word...
 
Back
Top Bottom