Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?πππ
Kina Obama walimfanya Nini maana anawachukia balaa
Ila trump bhana ana wafanyia maraisi wenzake wa awali hivyo kweli !?
Ni hisia ZAKO TU mbona hujasema WENGINE ni wanyama na wazunguRais Trump ametoa tangazo la video yenye ubaguzi wa rangi linaloonyesha Obamas kama tumbili. Ikulu ya Marekani awali ililinda chapisho hilo, kisha ikaeleza kuwa lilitolewa na mfanyakazi mmoja.
=============
President Trump removes a racist video depicting the Obamas as apes. The White House initially defended the post, then blamed it on a staffer.
Naam mkuu hao Hawaii kabisa nadhani walimchezea faulo katika ule uchaguzi ulio muweka Biden madarakani so mpaka Leo bado ana kisasi naoMkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?
NIlipoona wamarekani wengi wanalalamikia post ya Trump kuwa racist nilidhani ni kweli ni racist ila baada ya kuona full video ndio nimeelewa kuwa video sio racistWaafrika(watu weusi) tuna ujinga mwingi mnooo katika hilo tangazo, woote wamefanywa wanyamq, kuna waliofanywa punda, kuna nguruwe, zebra, ngiri, twigq etc, sawa obama kawa nyani, lakini hata biden ni nyani tena anakula ndizi.
Siku tukiacha kulia lia ubaguzi, huenda ubaguzi ukapunguwa kwa kiasi kikubwa mnoo..
Mtu anakutania pale anapoona panakuuma, akiona hauumia na haujali wala nini, anakosa nguvu.
Mashabiki wa soka huwa wanawazomea baadhi ya wachezaji ili wawatoe uwanjani, ukiwa unakosea kosea wanazidi kukuzomea, ila ukitulia ukawa unapatiq na ukaweka hata chuma 2, wanafunga mabakuli yao
Tuna kaujinga fulani, hii kujiona inferior na wale superior ni ugonjwa mkubwa kwetu...NIlipoona wamarekani wengi wanalalamikia post ya Trump kuwa racist nilidhani ni kweli ni racist ila baada ya kuona full video ndio nimeelewa kuwa video sio racist
Black Americans ni watu ambao ni very sensitive na easy kufeel offended. Tangy walivyonyanyaswa na wazungu wamegoma ku move on. Tofauti na sisi huku Africa, hayo mambo ya ukoloni wengi tumeshaachana nayo na kufuata maisha yetu. Ila kule Marekani watu weusi Bado wanadeka. Ni kama bado wanajiona inferior
Mkuu ulishasikiliza ''matamko'' ya Tump kuhusu Biden? Hilary Clinton? Hata huyu Rubio ambaye ni waziri wake wa sasa wakati wanachuana kuwania tiketi ya Republican? Kwa kifupi ndivyo alivyo. Hapa waafrika kama kawaida tumezoea kulia-lia kwa kila kitu. BTW kwa kilichotokea Tanzania 29/10 kina tofauti gani na u-nyani?
Word...Waafrika(watu weusi) tuna ujinga mwingi mnooo katika hilo tangazo, woote wamefanywa wanyamq, kuna waliofanywa punda, kuna nguruwe, zebra, ngiri, twigq etc, sawa obama kawa nyani, lakini hata biden ni nyani tena anakula ndizi.
Siku tukiacha kulia lia ubaguzi, huenda ubaguzi ukapunguwa kwa kiasi kikubwa mnoo..
Mtu anakutania pale anapoona panakuuma, akiona hauumia na haujali wala nini, anakosa nguvu.
Mashabiki wa soka huwa wanawazomea baadhi ya wachezaji ili wawatoe uwanjani, ukiwa unakosea kosea wanazidi kukuzomea, ila ukitulia ukawa unapatiq na ukaweka hata chuma 2, wanafunga mabakuli yao