Wewe wasema!!!Huu ubia upo kwenye fantasy yake na sio reality.Aendelee kuota.Nashangaa unaleta hoja muflis kama hiyo.Kuropoka ni kawaida kwa Trump.Kama alivyoropoka kwamba wananchi wa Venezuela wanampenda na watamchagua kama Rais wao.Kibabu kipo delusiounal.
Hata Israel na Marekani kuingia vitani na Iran mlikuwa mnasema hivi hivi. Marekani hawezi kupigana na Iran mara Israel hawezi kupigana na Iran mbona sasa Iran anapigwa kama ngoma?Hiki ndicho alichokuwa anakitaka, athibiti hapo Hormuz, aibe mafuta na gesi katika kisiwa cha Kharg.
Waajemi hawawezi kumpa chance hiyo, ni mpumbavu, Iran hawezi shirikiana na U.S au Israel kwa namna yeyote ile.
Ni mwiko kabisa.
Uropokaji wake umesababisha Iran kusanda na kukubali kusitisha vitaHuu ubia upo kwenye fantasy yake na sio reality.Aendelee kuota.Nashangaa unaleta hoja muflis kama hiyo.Kuropoka ni kawaida kwa Trump.Kama alivyoropoka kwamba wananchi wa Venezuela wanampenda na watamchagua kama Rais wao.Kibabu kipo delusiounal.
Mshia wa Mtoni kwa Aziz Ali.Hiki ndicho alichokuwa anakitaka, athibiti hapo Hormuz, aibe mafuta na gesi katika kisiwa cha Kharg.
Waajemi hawawezi kumpa chance hiyo, ni mpumbavu, Iran hawezi shirikiana na U.S au Israel kwa namna yeyote ile.
Ni mwiko kabisa.
Nakuona CIA wa kondoa irangiMshia wa Mtoni kwa Aziz Ali.
Endelea kujifariji na kujipa moyo kwa kujilisha UHARO wako mwenyewe!!Kinachowaconfuse wakristo wengi wa Tanzania,ambao kiuhalisia wengi ni wasomi sana kuliko waislam na hii hupelekea kuonekana WAPUMBAVU ni hiki:-🤣😆😃
1.Iran Ina waislam 97% inaungwa mkono na mataifa yenye wakristo wengi duniani zaidi ya 90% kama Russia,South Africa,Venezuela etc, sasa wao Kila kinachofanywa na UISLAM wao wanakipinga kiwe kizuri kiwe kibaya😆😆
2.wayahudi maadui zao wakubwa ni wakristo kuliko hata waislam,thus why Israel kuna idadi ya waislam mara 9 ya wakristo,lakini wakristo wa bongo wanaiunga mkono mayahudi sababu tu inapigana na Iran yenye waislam wengi😃😄😁
3.Papa ambaye ni kiongozi wa kanisa katoliki,dhehebu ambalo lina wakristo wengi duniani yupo pamoja na IRAN na VENEZUELA,sasa wafuasi wa PAPA wa Bongo hawajui wamsikilize PAPA ama wamsikilize TRUMP🤣🤣