Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sasa kama kapigwa ubia wanaoutaka nanini si wajimilikishe tu hapo huo mlangoHata Israel na Marekani kuingia vitani na Iran mlikuwa mnasema hivi hivi. Marekani hawezi kupigana na Iran mara Israel hawezi kupigana na Iran mbona sasa Iran anapigwa kama ngoma?