Rais Trump asema yeye hana shida Israel ikiamua ama kuendelea na makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha tena vita dhidi ya magaidi ya hamas

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Ni maneno ya Rais Trump wa Marekani

Kwamba Israel wakiamua kuzingatia makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha vita tena dhidi ya magaidi ya Hamas yeye wala hana tatizo!

Kwamba Netanyau ana hasira sana na anazo sababu za kuwa hivyo Kwa vitendo vya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na Hamas dhidi ya mateka wawili ambao ni Watoto wadogo

Kwamba inafikia mahali inabidi ufanye maamuzi magumu!

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

February 21, 2025

Trump: ‘I really am’ fine with any decision Israel makes — continue truce or resume war
Today, 8:15 pm

US President Donald Trump says he’s “really” fine with any decision Israel makes as to whether to continue to a second stage of the Gaza hostage deal or return to combat in Gaza.

Asked about Prime Minister Benjamin Netanyahu’s position in an interview with Fox News, Trump says, “He’s actually not torn. I mean, you know where he stands, and he would like to go in, and he’s just so angry, and he should be. If he’s not angry, then there’d be something wrong with him, frankly.

“He is very angry; he’s a very angry man at what happened, especially what happened yesterday with these kids,” he says, referring to the return of murdered hostage children Ariel and Kfir Bibas. “It’s so barbaric. You wouldn’t think that would happen in the modern age, but it happened.”

Asked then on Israel’s need to decide between seeking to bring back more hostages in a second phase or resuming the war, and whether he is fine with either choice, Trump answers, “I am. I really am. You know, when you see what’s happening there… you just wonder about the condition of the hostages that they have. One group came in so bad, it looked like it was a concentration camp in Germany.”

He adds: “Sometimes you have to make a decision… it’s a rough decision.”
 
hata Mimi Naunga mkono Netanyahuu alianzishe vita na Hamas tena kitendo cha Hamas kuua watoto wadogo wawili wa Israel na mama yao waliowateka ni unyama na ushetani kabisa
 
Kwahio Zayuni kuua watoto elfu 20 ni sawa ila mkuki kwa nguruwe si ndio
 
Watoto wa wapalestina wameuawa katika mazingira tofauti na hao watoto wa Israel.

Watoto wa wapalestina, sawa na raia wasio na hatia wanauawa kwa bahati mbaya kutokana na ushetani wa magaidi ya hamas kujificha katikati ya makundi ya raia.

Israel haijawahi kumchukua mtoto yeyote wa kipalestina na kwenda kumwua akiwa mikononi mwao, wala maelfu ya wafungwa wa kipalestina waliopelekwa kwenye magereza ya Israel, hawajawahi kuuawa wakuwa magerezani.

Hii ni vita ya watu wastaarabu dhidi ya mashetani ya Hamas. Kutokea mwanzo, kile kitendo cha kuingia Israel na kwenda kuwaua raia na kuwateka, ni ushetani wa hali ya juu. Fikiria kwa uwezo wa Israel, wangeamua nao kufanya ushetani kama ule wa mashetani ya hamas, wa kulenga raia, si raia wote wa Palestina wangekuwa wameangamia!!

Tusitetee ushenzi. Vitendo vile vya magaidi ya hamas, havitakiwi kuungwa mkono na yeyote mwenye akili timamu.

Nchi za kiarabu hazijawahi kuwaunga mkono magaidi ya Hamas, isipokuwa lile Taifa la kigaidi, nalo linafanya kwa kificho, lakini punguani wa Tanzania, utawasikia wakisema wanayaunga mkono magaidi ya hamas!!!
 
NI unyama kuliko hawa wanaotaka kuua mtu kisa mkristo?
Wakristo hadi mtapoamka kwenye huo usingizi mzito na uongo mliodanganywa na hawa waliomuua mungu wenu ili mchukie hata ukweli na haki kisa hawa mashetani ya kizayuni, mtaendelea kumshangilia shetani milele, haya sasahivi wanawaua hadi wakristo huko israel

Kwahio Zayuni kuua watoto elfu 20 ni sawa ila mkuki kwa nguruwe si ndio
Kwa hiyo kitendo cha Hamas kuwateka watoto wadogo wa miezi 9 na miaka 4 na mama yao Kisha imewanyonga hata mtume aliruhusu muue mateka Tena watoto wadogo halafu mnawatetea Israel imewaua watoto wagaza wakati Hamas wanawatumia raia wa Gaza kama ngao hivi kwenye uislamu unafiki na uwongo mnaruhusiwa
 
Watoto wa wapalestina wameuawa katika mazingira tofauti na hao watoto wa Israel.

Watoto wa wapalestina, sawa na raia wasio na hatia wanauawa kwa bahati mbaya kutokana na ushetani wa magaidi ya hamas kujificha katikati ya makundi ya raia.

Israel haijawahi kumchukua mtoto yeyote wa kipalestina na kwenda kumwua akiwa mikononi mwao, wala maelfu ya wafungwa wa kipalestina waliopelekwa kwenye magereza ya Israel, hawajawahi kuuawa wakuwa magerezani.

Hii ni vita ya watu wastaarabu dhidi ya mashetani ya Hamas. Kutokea mwanzo, kile kitendo cha kuingia Israel na kwenda kuwaua raia na kuwateka, ni ushetani wa hali ya juu. Fikiria kwa uwezo wa Israel, wangeamua nao kufanya ushetani kama ule wa mashetani ya hamas, wa kulenga raia, si raia wote wa Palestina wangekuwa wameangamia!!

Tusitetee ushenzi. Vitendo vile vya magaidi ya hamas, havitakiwi kuungwa mkono na yeyote mwenye akili timamu.

Nchi za kiarabu hazijawahi kuwaunga mkono magaidi ya Hamas, isipokuwa lile Taifa la kigaidi, nalo linafanya kwa kificho, lakini punguani wa Tanzania, utawasikia wakisema wanayaunga mkono magaidi ya hamas!!!
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu,yaan kafir hata awe na PHD bado hawezi tumia akili yake sawia .....ndomana mkitoka chooni mnataka maji ya kunawa while huko chooni mnatumia toilet paper
 
Israel ya sasa sio ile ya akina Moshe Dayan ambao walikuwa wanaamua mchezo ndani ya siku sita tu hawa wa sasa wanawalea sana magaidi kiasi cha kuwafanya magaidi wawe na kiburi.

Ingekuwa ni ile Israel ya akina Golda Mair na Manahem Begin hao wapalestina leo hii haki wasingekuwepo hapo Gaza wakising'ara macho.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Ni maneno ya Rais Trump wa Marekani

Kwamba Israel wakiamua kuzingatia makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha vita tena dhidi ya magaidi ya Hamas yeye wala hana tatizo!

Kwamba Netanyau ana hasira sana na anazo sababu za kuwa hivyo Kwa vitendo vya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na Hamas dhidi ya mateka wawili ambao ni Watoto wadogo

Kwamba inafikia mahali inabidi ufanye maamuzi magumu!

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

February 21, 2025

Trump: ‘I really am’ fine with any decision Israel makes — continue truce or resume war
Today, 8:15 pm

US President Donald Trump says he’s “really” fine with any decision Israel makes as to whether to continue to a second stage of the Gaza hostage deal or return to combat in Gaza.

Asked about Prime Minister Benjamin Netanyahu’s position in an interview with Fox News, Trump says, “He’s actually not torn. I mean, you know where he stands, and he would like to go in, and he’s just so angry, and he should be. If he’s not angry, then there’d be something wrong with him, frankly.

“He is very angry; he’s a very angry man at what happened, especially what happened yesterday with these kids,” he says, referring to the return of murdered hostage children Ariel and Kfir Bibas. “It’s so barbaric. You wouldn’t think that would happen in the modern age, but it happened.”

Asked then on Israel’s need to decide between seeking to bring back more hostages in a second phase or resuming the war, and whether he is fine with either choice, Trump answers, “I am. I really am. You know, when you see what’s happening there… you just wonder about the condition of the hostages that they have. One group came in so bad, it looked like it was a concentration camp in Germany.”

He adds: “Sometimes you have to make a decision… it’s a rough decision.”
Uyu mzee PUTO!! alijuwa Wanaume Watakaa pemben alipoongea yeye !!! kushtuka kusikia Sauti kutoka YEMEN kuwa GAZA ikianza kupigwa na Telaviv inapigwa!!

Apo Sasa uwezo Wakuzuiya Awana Tena ishabaainika Story zile THAAD PATRIOT RAFAEL ipo njian hooo Tunaenda funga Mzigo! Zimeisha Telaviv inaenda Waka!!! PUTO kajitoa Mazima!!!!
 
Watoto wa wapalestina wameuawa katika mazingira tofauti na hao watoto wa Israel.

Watoto wa wapalestina, sawa na raia wasio na hatia wanauawa kwa bahati mbaya kutokana na ushetani wa magaidi ya hamas kujificha katikati ya makundi ya raia.

Israel haijawahi kumchukua mtoto yeyote wa kipalestina na kwenda kumwua akiwa mikononi mwao, wala maelfu ya wafungwa wa kipalestina waliopelekwa kwenye magereza ya Israel, hawajawahi kuuawa wakuwa magerezani.

Hii ni vita ya watu wastaarabu dhidi ya mashetani ya Hamas. Kutokea mwanzo, kile kitendo cha kuingia Israel na kwenda kuwaua raia na kuwateka, ni ushetani wa hali ya juu. Fikiria kwa uwezo wa Israel, wangeamua nao kufanya ushetani kama ule wa mashetani ya hamas, wa kulenga raia, si raia wote wa Palestina wangekuwa wameangamia!!

Tusitetee ushenzi. Vitendo vile vya magaidi ya hamas, havitakiwi kuungwa mkono na yeyote mwenye akili timamu.

Nchi za kiarabu hazijawahi kuwaunga mkono magaidi ya Hamas, isipokuwa lile Taifa la kigaidi, nalo linafanya kwa kificho, lakini punguani wa Tanzania, utawasikia wakisema wanayaunga mkono magaidi ya hamas!!!
Wewe ni ke naona unapenda kunukuu nukuu yanayosemwa na wanaume
 
Uyu mzee PUTO!! alijuwa Wanaume Watakaa pemben alipoongea yeye !!! kushtuka kusikia Sauti kutoka YEMEN kuwa GAZA ikianza kupigwa na Telaviv inapigwa!!

Apo Sasa uwezo Wakuzuiya Awana Tena ishabaainika Story zile THAAD PATRIOT RAFAEL ipo njian hooo Tunaenda funga Mzigo! Zimeisha Telaviv inaenda Waka!!! PUTO kajitoa Mazima!!!!
The masjid ubwabwa dream.
 
Back
Top Bottom