Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Asante mwalimu kwa kunipeleka memkwa kidogoBalaa na sio baraa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mwalimu kwa kunipeleka memkwa kidogoBalaa na sio baraa
Wenyewe wanasema hawaihitaji Amerika.Uongo umewajaa hadi kwenye nyusi.Marekani ndio nchi inayochukiwa Sana..... lakini cha ajabu kwenye balozi zao ndio nchi Inayopokea maombi mengi sana ya kuingia kiasi kwamba mtu akipewa visa anafanya sherehe
Nilijua tu lazima uwe mjinga , waarabu wala stori ndefu kuliko hao mabwana zako ...Kenge kama hujui miji ya kiislamu lazima uwe muislamu ndo unaweza kuingia hata uwe fundi 😀 😀 😀 Wana sheria zao hakuna kafiri kwenye miji kama makka..Kwamba arabuni hakuna wazungu jeshi la marekani lililopo saudia likimlinda na mungu jiwe wa kiarabu kumbe wale ni waarabu. Halafu acha tabia za kike emoje za kicheko hutumiwa na wadada au ushaleft.
Wanapoteza scholarshipNa wanafunzi wenyeji atawapeleka wapi?
Unajua maana ya Laana kijana?Awatimue tu, maana wanaweza kuleta laana kwa marekani
Stick kwenye mada kijana mambo ya kuleft waachie waitalianoKwamba arabuni hakuna wazungu jeshi la marekani lililopo saudia likimlinda na mungu jiwe wa kiarabu kumbe wale ni waarabu. Halafu acha tabia za kike emoje za kicheko hutumiwa na wadada au ushaleft.
Huyu ni Myahudi kweli kweli.
Kupata kichekesho kama hiki cha kwako tunabonyeza namba ngapi?Trump haijui dunia ilivyo ndiomana anatoa matamko yasioeleweka ni wakumwangalia tu
Wenyeji walishawishiwa na wageni hasa wa kiarabu kuunga mkono ugaidi na siasa kali ndio maana Trump anawatimua wageni.Na wanafunzi wenyeji atawapeleka wapi?
😂😂😂 Wanashawishiwa kwani hawana akili?Wenyeji walishawishiwa na wageni hasa wa kiarabu kuunga mkono ugaidi na siasa kali ndio maana Trump anawatimua wageni.
Hii umesema wewe au Trump 😂Wanapoteza scholarship
Muda utaongea hayo makelele yake wala sio kitu dunia hii kubwa ndugu anaiweza mwenyewe Mungu tuKupata kichekesho kama hiki cha kwako tunabonyeza namba ngapi?
Vijana wengi wa kimarekani ni kama kuku wa kısasa. Hawajui siasa za kimataifa😂😂😂 Wanashawishiwa kwani hawana akili?
Na hao wa uingereza na nchi nyingine za ulaya wanaondamana wao hawajui Nini?Vijana wengi wa kimarekani ni kama kuku wa kısasa. Hawajui siasa za kimataifa
Kwahiyo freedom of speech wanayoihubiri kwenye democracy kwa dunia nzima leo hii wameipeleka wapi?Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel.
Agizo hilo kutoka kwa Trump lilisema kuwa Wizara ya Sheria itachukua hatua za haraka ili kuzuia vitisho vya kigaidi, uchomaji moto, uharibifu wa mali na ukatili dhidi ya Wayahudi walioko nchini Marekani, huku ikitumia rasilimali zote za serikali kuu kupambana na kile kilichoitwa "mlipuko wa chuki dhidi ya Wayahudi katika vyuo vikuu na mitaani" tangu shambulio la Oktoba 7, 2023, lililofanywa na kundi la Hamas dhidi ya Israel.
"Kwa wageni waliounga mkono maandamano ya jihad, tunawatahadharisha: ifikapo 2025, tutawapata na tutawafukuza," Trump alisema katika karabrasha hilo.
"Pia nitafuta haraka visa za wanafunzi wote wanaounga mkono Hamas katika vyuo vikuu, ambavyo vimemezwa na msimamo mkali wa kisiasa kuliko wakati wowote," aliongeza, akirejelea ahadi aliyotoa wakati wa kampeni ya 2024.
Makundi ya haki za binadamu na wataalamu wa sheria wamesema hatua hiyo itakiuka haki ya uhuru wa kujieleza kikatiba na huenda ikakabiliwa na changamoto za kisheria.
My take: Hao wavaa vipedo,misuli na makobazi warudi kwenye nchi zao wakaandamane kupinga udikteta na utawala wa kiimla ambazo nyingi zinatawaliwa kwa mfumo huo🤔
FaizaFixy Ritz kimsboy
===================================================================
US President Donald Trump signed an executive order on Wednesday to combat antisemitism and pledged to deport non-citizen college students and others who took part in pro-Palestinian protests against Israel.
A fact sheet on the order promises “immediate action” by the Justice Department to prosecute “terroristic threats, arson, vandalism and violence against American Jews” and marshal all federal resources to combat what it called “the explosion of antisemitism on our campuses and streets” since the October 7, 2023, attack on Israel by Palestinian terror group Hamas.
“To all the resident aliens who joined in the pro-jihadist protests, we put you on notice: come 2025, we will find you, and we will deport you,” Trump said in the fact sheet.
“I will also quickly cancel the student visas of all Hamas sympathizers on college campuses, which have been infested with radicalism like never before,” the president said, echoing a 2024 campaign promise.
Rights groups and legal scholars said the measure would violate constitutional free speech rights and would likely draw legal challenges.