Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

Kwamba arabuni hakuna wazungu jeshi la marekani lililopo saudia likimlinda na mungu jiwe wa kiarabu kumbe wale ni waarabu. Halafu acha tabia za kike emoje za kicheko hutumiwa na wadada au ushaleft.
Nilijua tu lazima uwe mjinga , waarabu wala stori ndefu kuliko hao mabwana zako ...Kenge kama hujui miji ya kiislamu lazima uwe muislamu ndo unaweza kuingia hata uwe fundi 😀 😀 😀 Wana sheria zao hakuna kafiri kwenye miji kama makka..

Mfano hawa , wanafuata nn huko Arabuni baadae wanapenyeza tamaduni zao kama ulevi

  • UAE example:
    In the United Arab Emirates, around 510,000 Westerners are estimated to live, constituting roughly 5% of the total population.

Kwamba arabuni hakuna wazungu jeshi la marekani lililopo saudia likimlinda na mungu jiwe wa kiarabu kumbe wale ni waarabu. Halafu acha tabia za kike emoje za kicheko hutumiwa na wadada au ushaleft.
Stick kwenye mada kijana mambo ya kuleft waachie waitaliano
 
Kwahiyo freedom of speech wanayoihubiri kwenye democracy kwa dunia nzima leo hii wameipeleka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…