figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
acha woga wewe kijanaMmmhh! Nahisi nimekosea njia. Ngoja nitoke hapa.
Kwa thamani ipi?Salaam
Rais Mpendwa Donald Trump, wewe ni mtu unayesikiliza watu wote kwani hubagui.
Nilipenda ulivyomfundosha adabu aliyejipachika Urais Venezuela bwana Nicolás Maduro. Isiishie kwa Maduro tu, njoo na Tanzania Baba.
Huyu Mzanzibari Samia akiwa Tunguu Zanzibar unamdaka kirahisi huyu mwanamke. Boti tu ya kawaida.
Hata Dar ni unajiokotea kama uyoga.
Huyu Samia Suluhu hatumtaki.
Ramini ya Ikulu hii hapa, mvizie usiku usiku, anapenda kulala fofo...
Huyu Samia awe mfano kwa Marais wengine wote wenye roho mbaya wanaoua wana
View attachment 3597070
Stupid fishSalaam

Ndio upuuzi wa hivi vitotoNa wewe wakikufuata kama Maduro hapo Vikindu usilaumu mtu
Vizee vya hovyo …. Manyenyere yanatambaa na wewe hujali tena kuishiacha woga wewe kijana
jamaa ni bwegeUmepost uzi wa kuhamasisha Raisi wa nchi yako atekwe na ramani inayoashiria jengo la ikulu.
Hivi kwenye kesi ya uhaini unatokaje hapo?
Shida zangu zinakuhusu nini? Kwani shida zote ninazopitia umenisaidia nini hadi unionee huruma?hii itakuletea shida halafu wenzako waanze kuimba nyimbo za bring back figganigga
Acha kutisha watu wewe hamna akili za ziada zaidi ya vitisho pumbaff.Umepost uzi wa kuhamasisha Raisi wa nchi yako atekwe na ramani inayoashiria jengo la ikulu.
Hivi kwenye kesi ya uhaini unatokaje hapo?
***** lingine la AbdulChadema kwa kupenda kujisumbua yaani mpo walafi kama mafisi....
#Jipangeni kwa uchaguzi 2030
Mnapoteza muda bure kabisa,mnalofokiri haliwezi tokea kamwe,foreign affair amewaalila hao akina cruz waje waone utulivu wa ajabu uliopo na ikibidi waende serengeti na ngorongoro wakabarizi after they should leave off our beautiful and peacefull country!