Rais Trump kaipiga ban CNN, MSNOW/MSNBC kwa kinachodaiwa wanatoa taarifa Feki.. Kwamba hawafai kuaminika

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Donald Trump ametangaza kupiga marufuku CNN, MSNOW (zamani MSNBC), na Politico kutoka Ikulu ya White House, akinukuu "kuripoti kwao mara kwa mara HABARI FEKI." Aliishutumu Politico kwa ufisadi, akidai walipokea usajili wa "dola milioni 8" kutoka kwa utawala wa Biden ili kuwaweka "hai."

Trump amesisitiza kwamba vyombo vya habari havipaswi kuruhusiwa kuripoti uongo kuhusu Rais au nchi, akionya kwamba vyombo vingine vya habari vya "Habari Feki" vitafuata.

=====

I am proud to announce that, effective immediately, I am banning Fake News CNN, MSNOW (who recently changed their name from MSNBC due to lack of viewership and credibility!), and Politico (The recipients of an illegal and ridiculous $8 Million Dollar subscription, an All Time Record, directly from the United States Government, under Crooked Joe Biden, in order to keep them “alive.”

Seems like corruption to me!), from the White House as a result of their constant “reporting” FAKE NEWS! Media Outlets shouldn’t be able to constantly write or report FICTION and LIES when they’re covering the President of the United States, the Trump Administration, or the United States of America. Other Fake News Media Outlets to follow.

Thank you for your attention to this matter! President DONALD J. TRUMP
Screenshot_20260918_214806_Truth Social.jpg
 
Baada ya ile ripoti ya CNN kuonyesha picha za uharibifu wa kambi za kijeshi za US huko mashariki ya kati nilijua tu hawatoboi. Mbaya zaidi walidai zile picha walitumiwa na wanajeshi walio site kabisa!!

Trump anajaribu kuficha ukweli ambao uko wazi, uchaguzi huu lazima wapigwe knock out.
 
That’s unconstitutional!

This will be challenged in court and that challenge will be successful.
 
Halafu kuna vilaza wataitetea marekani
Wanasema mtetezi wa uhuru wa kujieleza !!!
 
Kuna wadau hapa hawajaelewa. Trump hajafuzingia hizo media. Hana uwezo huo kisheria. Bali kazizuia tu kuripoti toka ofisini kwake. Anadai zinapotosha habari zake. Ni kama Rais azuie media kutoa habari zake na za Ikulu.

Ni uhuni tu. Wakiamua wanampeleka mahakamani analegea mwenyewe.
 
Donald Trump ametangaza kupiga marufuku CNN, MSNOW (zamani MSNBC), na Politico kutoka Ikulu ya White House, akinukuu "kuripoti kwao mara kwa mara HABARI FEKI." Aliishutumu Politico kwa ufisadi, akidai walipokea usajili wa "dola milioni 8" kutoka kwa utawala wa Biden ili kuwaweka "hai."

Trump amesisitiza kwamba vyombo vya habari havipaswi kuruhusiwa kuripoti uongo kuhusu Rais au nchi, akionya kwamba vyombo vingine vya habari vya "Habari Feki" vitafuata.

=====

I am proud to announce that, effective immediately, I am banning Fake News CNN, MSNOW (who recently changed their name from MSNBC due to lack of viewership and credibility!), and Politico (The recipients of an illegal and ridiculous $8 Million Dollar subscription, an All Time Record, directly from the United States Government, under Crooked Joe Biden, in order to keep them “alive.”

Seems like corruption to me!), from the White House as a result of their constant “reporting” FAKE NEWS! Media Outlets shouldn’t be able to constantly write or report FICTION and LIES when they’re covering the President of the United States, the Trump Administration, or the United States of America. Other Fake News Media Outlets to follow.

Thank you for your attention to this matter! President DONALD J. TRUMP
View attachment 3673607
Ila huku kwetu ndiyo tunaiamini na kuiona kama VAR. Aliyeturoga kwa hakika ana mkono wa dawa
 
Baada ya ile ripoti ya CNN kuonyesha picha za uharibifu wa kambi za kijeshi za US huko mashariki ya kati nilijua tu hawatoboi. Mbaya zaidi walidai zile picha walitumiwa na wanajeshi walio site kabisa!!

Trump anajaribu kuficha ukweli ambao uko wazi, uchaguzi huu lazima wapigwe knock out.
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom