Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili.
Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa rasilimali. Hivyo wanataka rasilimali za Ukraine na za Russia. Ukweli wa suala ili la rasilimali asili linaonekana kwenye harakati za sasa za kuwekeana mikataba ya madini adimu Kati ya Ulaya na Ukraine na upande wa pili Marekani na Ukraine.
Suala lingine nchi hizo nyingi zinaongozwa na viongozi wanaotaka mfumo wa maisha wa kiliberali. Hawataki mfumo wa muda mrefu wa maisha ulio katika misingi ya maadili ya kale. Mfano misingi ya kidini n.k.
Wanataka liberal progressive ideology au Left-wing ideology.
Viongozi wengi walio madarakani na watu walio nyuma yao wanataka maisha yanayo kumbatia kubadili jinsia, ushoga na usagaji.
Maisha ya kihafidhina yanayo zingatia maadili ya familia na mifumo ya ndoa za mume na mke ya jinsia tofauti ni kikwazo kwao.
Ujio wa Trump katika ikulu ya Marekani umekuwa msiba mzito kwao.
Sasa viongozi wa Ulaya wanaongea kauli za kutisha mfano "Every day you need to pay for ammunition, at least for several years, until Trump is dead" alinukuliwa mwanadiplomasia mmoja wa Ulaya akimwambia muandishi wa jarida la Politico.
Hii kauli nzito sana ukizingatia majaribio kadhaa ya kumdhuru Trump yalishatokea. Sijui kama atamaliza muda wake madarakani salama.
Wapenda amani wote duniani tuombe Trump aishi muda marefu, amalize miaka yake minne madarakani.
Nachukia kumtabiria mtu jambo baya lakini hili lipo wazi kiasi naamini Trump mwenyewe analijua hili.