Rais Trump na Rais Uhuru Kenyatta kuzungumzia Amani na Usalama wa nchi za Afrika Mashariki. Kwanini Uhuru?

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Mwaliko huu aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.

"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".

Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.

Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.

Source: VOA.
 
Jibu ni rahisi ndugu yangu.Toka enzi za mzee marehemu Jomo Kenyata.Nchi ya Kenya katika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Africa ilikuwa haitoi ushirikiano wowote wao walijikita kwenye siasa za ubepari kujali maslahi yao tu sio watu wengine tabu ya nini?.Marekani inaiamini Kenya kuliko nchi zote Africa mashariki.Hata Kenya ilipotoa msaada kwa nchi ya Israeli ndege zake kutua Kenya na kujaza mafuta wakati wanakwenda kukomboa mateka wao Entebe Uganda JULY 1976 Marekani walifurahia sana kitendo hichi cha kiungwana cha Kenya.Idi Amini alitoa vitisho kuivamia Kenya kulipa kisasi Marekani ikatoa msaada mkubwa kwa Kenya kuzuiya kitisho hicho wakaweka ngome ya kijeshi Mombasa.Kwa kifupi nchi ya Kenya ni wajanja kuliko nchi zingine za Afrika mashariki ni wazuri kujikomba kwa wakubwa
 
Kwa East Africa Rais Kenyatta ndie pekee anaeheshimu Demokrasia na Haki za Binadamu..
The rest are Dictators.
 
M7+ Mpombe + Mgame watazungumziwa

Kule Rwanda binti aliyetangaza kugombea uraisi na Kagame kafilisiwa na sasa yuko ndani,Uganda hali ni kama hivyo, Tanzania "chinjaa chinja" ya upinzani na wengine wakipotea huku wengine wakihamia FISIEMU saa 6 usiku na wakina Lissu wakipigwa risasi kama wanyama!!

Uhuru akiomba maridhiano na kuunganisha umma hadi kuombana msamaha na kina Odinga!!

Wakwetu wako busy kusema CCM itatawala milele, halafu huku wakisema chaguzi zeta ni huru na haki!!

Huenda hizi zote ni juhudi za kwenda kuwa kiongozi wa Malaika huko mbinguni!!
 
Jibu ni rahisi ndugu yangu.Toka enzi za mzee marehemu Jomo Kenyata.Nchi ya Kenya katika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Africa ilikuwa haitoi ushirikiano wowote wao walijikita kwenye siasa za ubepari kujali maslahi yao tu sio watu wengine tabu ya nini?.Marekani inaiamini Kenya kuliko nchi zote Africa mashariki.Hata Kenya ilipotoa msaada kwa nchi ya Israeli ndege zake kutua Kenya na kujaza mafuta wakati wanakwenda kukomboa mateka wao Entebe Uganda JULY 1976 Marekani walifurahia sana kitendo hichi cha kiungwana cha Kenya.Idi Amini alitoa vitisho kuivamia Kenya kulipa kisasi Marekani ikatoa msaada mkubwa kwa Kenya kuzuiya kitisho hicho wakaweka ngome ya kijeshi Mombasa.Kwa kifupi nchi ya Kenya ni wajanja kuliko nchi zingine za Afrika mashariki ni wazuri kujikomba kwa wakubwa
Hio ni kawaida kwa manyang'au when it comes to Maslahi yao.
 
Kitu hicho ndio kimewafanya pia wawe juu kiuchumi na kimaendeleo kuliko nchi zote za ukanda wa Africa mashariki sisi tuliowasaidia nchi zingine kujikomboa tumefaidika na nini zaidi ya uchumi kuporomoka na kuminya Demokrasia + kufanya biashara ya kuwanunua watu? SHAME ON YOU TANZANIANS.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaliko huu ni aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.

"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".

Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.

Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.

Source: VOA.
Wanaenda kuongea biashara na uwekekzaji. Suala la amani ni kama reserve tu. Sawa sawa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu ni rahisi ndugu yangu.Toka enzi za mzee marehemu Jomo Kenyata.Nchi ya Kenya katika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Africa ilikuwa haitoi ushirikiano wowote wao walijikita kwenye siasa za ubepari kujali maslahi yao tu sio watu wengine tabu ya nini?.Marekani inaiamini Kenya kuliko nchi zote Africa mashariki.Hata Kenya ilipotoa msaada kwa nchi ya Israeli ndege zake kutua Kenya na kujaza mafuta wakati wanakwenda kukomboa mateka wao Entebe Uganda JULY 1976 Marekani walifurahia sana kitendo hichi cha kiungwana cha Kenya.Idi Amini alitoa vitisho kuivamia Kenya kulipa kisasi Marekani ikatoa msaada mkubwa kwa Kenya kuzuiya kitisho hicho wakaweka ngome ya kijeshi Mombasa.Kwa kifupi nchi ya Kenya ni wajanja kuliko nchi zingine za Afrika mashariki ni wazuri kujikomba kwa wakubwa
Nakiukweli si kujikomba tu. USA hawezi akakushupalia kama huna lolote ardhini au kama wewe unajitambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaliko huu aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.

"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".

Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.

Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.

Source: VOA.
And why awe mafufuli ama kagame ama m7 na sio uhuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni mtu anaetaka kujifariji kwamba kwa kuwa Magufuli ni dikteta, my friend, ninyi chadema mtaendelea kuburruza mkia kwa mawazo kama haya!

Ni kuulize tu, katika medula oblangata yako haikukumbushi kwamba Trump keshakutana na Kagame tena mbele ya viongozi wengi kutoka Afrika? Ile inakupa ujumbe gani?

Think big,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom