Rais Trump na Rais Uhuru Kenyatta kuzungumzia Amani na Usalama wa nchi za Afrika Mashariki. Kwanini Uhuru?

Rais Trump na Rais Uhuru Kenyatta kuzungumzia Amani na Usalama wa nchi za Afrika Mashariki. Kwanini Uhuru?

Mleta mada ni mtu anaetaka kujifariji kwamba kwa kuwa Magufuli ni dikteta, my friend, ninyi chadema mtaendelea kuburruza mkia kwa mawazo kama haya!

Ni kuulize tu, katika medula oblangata yako haikukumbushi kwamba Trump keshakutana na Kagame tena mbele ya viongozi wengi kutoka Afrika? Ile inakupa ujumbe gani?

Think big,

Sent using Jamii Forums mobile app
Watz siwaelewi kabisa mjue. Nyerere alipata kusema ukiona adui yako anakusifi a usidhani umefanya vizuri, rudi nyuma ujichunguze ni wapi umekosea. Wazungu ni adui zetu, na kama huamini kaishi kwenye nchi zao, sisi tu ndo tunajipendekeza kijingajinga kwao. Katika africa hakuna rais ni.emkubali kama tingatinga, yaan kila akipiga anapiga mulemule ninamotamani apige. Ndo maana nishawambia nitakuwa wa mwisho kutomwamini anko mqgu

Haya jiulize kwa nini hakualikwa white house? Make Uhuru wameonana na akaalikwa white house

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni mtu anaetaka kujifariji kwamba kwa kuwa Magufuli ni dikteta, my friend, ninyi chadema mtaendelea kuburruza mkia kwa mawazo kama haya!

Ni kuulize tu, katika medula oblangata yako haikukumbushi kwamba Trump keshakutana na Kagame tena mbele ya viongozi wengi kutoka Afrika? Ile inakupa ujumbe gani?

Think big,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye unayedhani Magufuli hakualikwa labda kwa sababu ana elements za udikteta, mimi sina mawazo hayo usifikiri kwa niaba yangu.
 
Mwaliko huu aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.

"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".

Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.

Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.

Source: VOA.
Hawajaenda... Pindi Magufuli akikubali kwenda atazungumzia.. Ni akili siyo mpaka ufundishwe darasani. Labda kama ulikuwa unaleta umbea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahha yaani sasa ulitaka nani akutane na trump??Embu wewe uulizaye hili swali twaomba utujibu
 
Mwaliko huu aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.

"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".

Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.

Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.

Source: VOA.
ukimuondoa Uhuru, waliobaki wote EAC ni tyrants!
 
Watz siwaelewi kabisa mjue. Nyerere alipata kusema ukiona adui yako anakusifi a usidhani umefanya vizuri, rudi nyuma ujichunguze ni wapi umekosea. Wazungu ni adui zetu, na kama huamini kaishi kwenye nchi zao, sisi tu ndo tunajipendekeza kijingajinga kwao. Katika africa hakuna rais ni.emkubali kama tingatinga, yaan kila akipiga anapiga mulemule ninamotamani apige. Ndo maana nishawambia nitakuwa wa mwisho kutomwamini anko mqgu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi magu namwaminia kwa hili, hana shobo za kwenda kujikomba kwa mazungu acha wanafiki wakanyagane kwenda kulamba miguu ya wazungu. Kwani huyo trump ndo Mungu bhana
 
Kule Rwanda binti aliyetangaza kugombea uraisi na Kagame kafilisiwa na sasa yuko ndani,Uganda hali ni kama hivyo, Tanzania "chinjaa chinja" ya upinzani na wengine wakipotea huku wengine wakihamia FISIEMU saa 6 usiku na wakina Lissu wakipigwa risasi kama wanyama!!

Uhuru akiomba maridhiano na kuunganisha umma hadi kuombana msamaha na kina Odinga!!

Wakwetu wako busy kusema CCM itatawala milele, halafu huku wakisema chaguzi zeta ni huru na haki!!

Huenda hizi zote ni juhudi za kwenda kuwa kiongozi wa Malaika huko mbinguni!!
Kula tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushazoea kuhoji kila kitu...

Angealikwa Kagame tungehoji kwa nini Rais kagame? Angealikwa Rais Magufuli tungehoji kwa nini Rais Magufuli? Angealikwa Museven tungehoji kwa nini Rais Museven...

Amealikwa Kenyatta tunahoji kwa nini Rais Kenyatta...

Cc: mahondaw
 
Jibu ni rahisi ndugu yangu.Toka enzi za mzee marehemu Jomo Kenyata.Nchi ya Kenya katika kupigania uhuru wa nchi za kusini mwa Africa ilikuwa haitoi ushirikiano wowote wao walijikita kwenye siasa za ubepari kujali maslahi yao tu sio watu wengine tabu ya nini?.Marekani inaiamini Kenya kuliko nchi zote Africa mashariki.Hata Kenya ilipotoa msaada kwa nchi ya Israeli ndege zake kutua Kenya na kujaza mafuta wakati wanakwenda kukomboa mateka wao Entebe Uganda JULY 1976 Marekani walifurahia sana kitendo hichi cha kiungwana cha Kenya.Idi Amini alitoa vitisho kuivamia Kenya kulipa kisasi Marekani ikatoa msaada mkubwa kwa Kenya kuzuiya kitisho hicho wakaweka ngome ya kijeshi Mombasa.Kwa kifupi nchi ya Kenya ni wajanja kuliko nchi zingine za Afrika mashariki ni wazuri kujikomba kwa wakubwa
achana na historia mtumeni Samia akatete na Trump mana Ras Shimba hajakamilisha kazi pale Magogoni
 
Jibu ni kwamba yupi yupo kwenye danger zone ya terrorism, hapo Kenya ndo anahatari kwa kua yuko karibu na Somalia
 
Tushazoea kuhoji kila kitu...

Angealikwa Kagame tungehoji kwa nini Rais kagame? Angealikwa Rais Magufuli tungehoji kwa nini Rais Magufuli? Angealikwa Museven tungehoji kwa Rais Museven...

Amealikwa Kenyatta tunahoji kwa Rais Kenyatta...

Cc: mahondaw
Hizi ni era za kuhoji ukiona mtu hahoji anakubali kila kitu lazima anawalakini.
 
Back
Top Bottom