Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 1,912
- 2,254
Watz siwaelewi kabisa mjue. Nyerere alipata kusema ukiona adui yako anakusifi a usidhani umefanya vizuri, rudi nyuma ujichunguze ni wapi umekosea. Wazungu ni adui zetu, na kama huamini kaishi kwenye nchi zao, sisi tu ndo tunajipendekeza kijingajinga kwao. Katika africa hakuna rais ni.emkubali kama tingatinga, yaan kila akipiga anapiga mulemule ninamotamani apige. Ndo maana nishawambia nitakuwa wa mwisho kutomwamini anko mqguMleta mada ni mtu anaetaka kujifariji kwamba kwa kuwa Magufuli ni dikteta, my friend, ninyi chadema mtaendelea kuburruza mkia kwa mawazo kama haya!
Ni kuulize tu, katika medula oblangata yako haikukumbushi kwamba Trump keshakutana na Kagame tena mbele ya viongozi wengi kutoka Afrika? Ile inakupa ujumbe gani?
Think big,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app