Mwaliko huu aliupata alipohudhuria mkutano wa G7 nchini Italia tarehe 27 mwezi Mei, 2017, ambapo alikutana na Rais Donald Trump wa Marekani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya White House, katika mkutano huo, marais hao wawili pamoja na mambo mengine watazungumzia Biashara, Amani na Usalama kwenye nchi za Afrika Mashariki na Ukanda wote wa Maziwa Makuu.
"During his visit to the US, President Kenyatta will visit the White House at the invitation of the US President with whom the Kenyan Head of State will hold talks on a wide array of subjects among them trade, peace and security in Eastern Africa covering the Great Lakes and Horn of Africa regions".
Kenyatta atakuwa rais wa pili wa nchi za Afrika chini ya jangwa la Sahara kualikwa White House na wa tatu katika bara lote, marais wengine ni Abdel el Sisi wa Misri na Muhamadu Buhari wa Nigeria.
Swali la kujiuliza, kwanini Uhuru azungumzie amani na usalama wa EA na siyo Magufuli au Kagame au Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Rais Yoweri Museveni.
Source: VOA.