Rais Trump: 'Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.

Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla, kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli baada ya Musk kusema kuwa anataka kupinga mfumo wa sasa wa kisiasa wa Marekani.

Soma,Pia: Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

"Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu, siku zote umekuwa mfumo wa vyama viwili, na nadhani kuanzisha chama cha tatu kunaongeza mkanganyiko". Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege alipokuwa akirejea Washington kutoka klabu yake ya gofu ya New Jersey.

1751868301263.png

Source: Reuters
======

Trump calls Musk's formation of new party "ridiculous" and criticizes his own NASA pick​

July 6 (Reuters) - President Donald Trump on Sunday called Elon Musk's plans to form a new political party "ridiculous," launching new barbs at the tech billionaire and saying the Musk ally he once named to lead NASA would have presented a conflict of interest given Musk's business interests in space.
A day after Musk escalated his feud with Trump and announced the formation of a new U.S. political party, the Republican president was asked about it before boarding Air Force One in Morristown, New Jersey, as he returned to Washington upon visiting his nearby golf club.

"I think it's ridiculous to start a third party. We have a tremendous success with the Republican Party. The Democrats have lost their way, but it's always been a two-party system, and I think starting a third party just adds to confusion," Trump told reporters.
"It really seems to have been developed for two parties. Third parties have never worked, so he can have fun with it, but I think it's ridiculous."
Shortly after speaking about Musk, Trump posted further comments on his Truth Social platform, saying, "I am saddened to watch Elon Musk go completely 'off the rails,' essentially becoming a TRAIN WRECK over the past five weeks."

Musk announced on Saturday that he is establishing the "America Party" in response to Trump's tax-cut and spending bill, which Musk said would bankrupt the country.
"What the heck was the point of @DOGE if he’s just going to increase the debt by $5 trillion??" Musk wrote on X on Sunday, referring to the government downsizing agency he briefly led. Critics have said the bill will damage the U.S. economy by significantly adding to the federal budget deficit.
Musk said his new party would in next year's midterm elections look to unseat Republican lawmakers in Congress who backed the sweeping measure known as the "big, beautiful bill."
Musk spent millions of dollars underwriting Trump's 2024 re-election effort and, for a time, regularly showed up at the president's side in the White House Oval Office and elsewhere. Their disagreement over the spending bill led to a falling out that Musk briefly tried unsuccessfully to repair.
 
Wanaopigania democracy hawatak vyama viwe vingi ...
Alaf ndio mnasema marekan ni baba wa democracy
Marekani ina vyama saba hiki kama kitaingia nadhani kitakua cha nane lakini vyama vyenye nguvu viko viwili kwahiyo kabla hajatoa neno jitahidi kusoma kwanza
 
Balaa liko huku waliko ipokea hiyo democracy!, inchi moja vyama 18, mpaka unachoka.
 
Marekani ina vyama saba hiki kama kitaingia nadhani kitakua cha nane lakini vyama vyenye nguvu viko viwili kwahiyo kabla hajatoa neno jitahidi kusoma kwanza
Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.
 
Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.

Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla, kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli baada ya Musk kusema kuwa anataka kupinga mfumo wa sasa wa kisiasa wa Marekani.

Soma,Pia: Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

"Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu, siku zote umekuwa mfumo wa vyama viwili, na nadhani kuanzisha chama cha tatu kunaongeza mkanganyiko". Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege alipokuwa akirejea Washington kutoka klabu yake ya gofu ya New Jersey.

View attachment 3397010

Source: Reuters
======

Trump calls Musk's formation of new party "ridiculous" and criticizes his own NASA pick​

July 6 (Reuters) - President Donald Trump on Sunday called Elon Musk's plans to form a new political party "ridiculous," launching new barbs at the tech billionaire and saying the Musk ally he once named to lead NASA would have presented a conflict of interest given Musk's business interests in space.
A day after Musk escalated his feud with Trump and announced the formation of a new U.S. political party, the Republican president was asked about it before boarding Air Force One in Morristown, New Jersey, as he returned to Washington upon visiting his nearby golf club.

"I think it's ridiculous to start a third party. We have a tremendous success with the Republican Party. The Democrats have lost their way, but it's always been a two-party system, and I think starting a third party just adds to confusion," Trump told reporters.
"It really seems to have been developed for two parties. Third parties have never worked, so he can have fun with it, but I think it's ridiculous."
Shortly after speaking about Musk, Trump posted further comments on his Truth Social platform, saying, "I am saddened to watch Elon Musk go completely 'off the rails,' essentially becoming a TRAIN WRECK over the past five weeks."

Musk announced on Saturday that he is establishing the "America Party" in response to Trump's tax-cut and spending bill, which Musk said would bankrupt the country.
"What the heck was the point of @DOGE if he’s just going to increase the debt by $5 trillion??" Musk wrote on X on Sunday, referring to the government downsizing agency he briefly led. Critics have said the bill will damage the U.S. economy by significantly adding to the federal budget deficit.
Musk said his new party would in next year's midterm elections look to unseat Republican lawmakers in Congress who backed the sweeping measure known as the "big, beautiful bill."
Musk spent millions of dollars underwriting Trump's 2024 re-election effort and, for a time, regularly showed up at the president's side in the White House Oval Office and elsewhere. Their disagreement over the spending bill led to a falling out that Musk briefly tried unsuccessfully to repair.
Wanaojitangaza kuwa na democrasi wanaogopa uanzishwaji wa chama tu .. huku kwetu wanatuwekea utitiri wa vyama kuwa ndo democrasia
 
Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.
Unakuwa mvivu mpaka wa kugooglw au kuuliza chartgtp mpaka uje kubishana na waliokuzidi uelewa?.
 
Mpaka sasa Tanzania ina msururu wa vyama 22 visivyo na msaada na cha kushangaza hatuoni kama ni ujinga!! Nadhani huenda tutaongeza na siyo kuvipunguza! Inabidi tuombee sana akili zetu! Pengine zikifunguka na sisi tutaona ni ujinga kuwa na mivyama mingi isiyo na tija kwa taifa!
 
Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.

Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.
Marekani ina vyama vingi sana ndugu laikini vyama vikuu viko viwili vilivyobakia vyote huitwa vyama vya tatu
 
Rais wa Marekani Donald Trump, amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.

Trump amemtaja bilionea huyo na mfanyabiashara wa makampuni ya SpaceX na Tesla, kuwa ni mtu aliyetoka kwenye reli baada ya Musk kusema kuwa anataka kupinga mfumo wa sasa wa kisiasa wa Marekani.

Soma,Pia: Musk aanzisha chama cha America Party 'kuwarudishia watu uhuru wao' baada ya kufufua uhasama mkali na Trump

"Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu, siku zote umekuwa mfumo wa vyama viwili, na nadhani kuanzisha chama cha tatu kunaongeza mkanganyiko". Trump aliwaambia waandishi wa habari kabla ya kupanda ndege alipokuwa akirejea Washington kutoka klabu yake ya gofu ya New Jersey.

View attachment 3397010

Source: Reuters
======

Trump calls Musk's formation of new party "ridiculous" and criticizes his own NASA pick​

July 6 (Reuters) - President Donald Trump on Sunday called Elon Musk's plans to form a new political party "ridiculous," launching new barbs at the tech billionaire and saying the Musk ally he once named to lead NASA would have presented a conflict of interest given Musk's business interests in space.
A day after Musk escalated his feud with Trump and announced the formation of a new U.S. political party, the Republican president was asked about it before boarding Air Force One in Morristown, New Jersey, as he returned to Washington upon visiting his nearby golf club.

"I think it's ridiculous to start a third party. We have a tremendous success with the Republican Party. The Democrats have lost their way, but it's always been a two-party system, and I think starting a third party just adds to confusion," Trump told reporters.
"It really seems to have been developed for two parties. Third parties have never worked, so he can have fun with it, but I think it's ridiculous."
Shortly after speaking about Musk, Trump posted further comments on his Truth Social platform, saying, "I am saddened to watch Elon Musk go completely 'off the rails,' essentially becoming a TRAIN WRECK over the past five weeks."

Musk announced on Saturday that he is establishing the "America Party" in response to Trump's tax-cut and spending bill, which Musk said would bankrupt the country.
"What the heck was the point of @DOGE if he’s just going to increase the debt by $5 trillion??" Musk wrote on X on Sunday, referring to the government downsizing agency he briefly led. Critics have said the bill will damage the U.S. economy by significantly adding to the federal budget deficit.
Musk said his new party would in next year's midterm elections look to unseat Republican lawmakers in Congress who backed the sweeping measure known as the "big, beautiful bill."
Musk spent millions of dollars underwriting Trump's 2024 re-election effort and, for a time, regularly showed up at the president's side in the White House Oval Office and elsewhere. Their disagreement over the spending bill led to a falling out that Musk briefly tried unsuccessfully to repair.
Anasema wanaweza waitimie DOGE kuchunguza miradi ya space X.
Huu ugomvi unawaathiri share holders wa tesla maana kila wakitibuana hisa zinashuka thamani.
 
TRUMP ALIKOSEA SANA ,kucheza cheza na mtoto wa elon maarufu x Whitehouse...nadhani tayari X anamsumbua ndigi anataka ikulu yake

Simnajua tunavyodanganyaga watoto
 
Kwahiyo point ya Trump ni ipi? Kwamba hakuna haja ya kuongeza chama chenye nguvu tena anaona bora vibakie hivyo hivyo viwili tu?
 
Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.
Kwanini Mtu mweusi uichukulia Demokrasia kama hanasa?.
yaani uhuru wa kuchagua ama kuhoji kunaathilije ukuaje wa Taifa?.
 
Trump naye anazeeka vibaya sasa. Kwani Marekani ina vyama viwili tu? Au ndio wale toka wanazaliwa anaogelea kwenye utajiri hajui hata historia ya nchi yake.
 
Back
Top Bottom