Rais Trump: 'Nadhani ni ujinga kuanzisha chama cha tatu'

Wanaopigania democracy hawatak vyama viwe vingi ...
Alaf ndio mnasema marekan ni baba wa democracy
Ni ushamba wa Trump tu; Marekani ina vyama kadhaa vya siasa but siasa zao ziko dominated na viwili. That's it.
 
Kwamba we na Trump anaejia Marekani ni wewe, sio?
Mwenye nchi anakuambia nchi yake ina vyama miwili na anashangaa kutaka kuongezwa cha tatu.
Huyu mzee kajichanganya; Marekani ina vyama kadhaa vya siasa na sio viwili tu.
 
Safi sn ndio Democrasia yenyewe na Mungu akipenda vizidi hata 10.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Good chance watagawana kura na Republican, ndio maana Trump anaita upuuzi, Midterm tsunami inakuja, hope Republicans will lose Senate and House, ni kama Bush sr alivyoshindwa na Clinton sababu ya Perot
 
Kwa hiyo kumbe wanapokuja Afrika kusisitiza tuwe na vyama Vingi ili TULETE MCHANGANYO NA MCHANGANYIKO...sasa mbona basi sisi washapata mwanya...nao Waanzishe CCM B...alafu vingine vifutwe tu
 
Hahaha waanzishe vingi wawe kama nchi yetu.

The party breaker will turn out to be the broken party.
 
hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo.
Mimi nasubiria wapigane tu palingi mtu mbili, Musk kamwaga mihela kaambua patupu sasa anataka afanye revenge Trump kampiga hela kalala hivi, where's Kanye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…