Rais Tshisekedi atua Tanzania kuimarisha uhusiano

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda

Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan, unaashiria kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa kihistoria, kindugu na kidiplomasia kati ya Tanzania na DRC.

Hii ni ziara yake ya tatu ya kikazi nchini Tanzania baada ya ziara za mwaka 2019 na 2022, huku mazungumzo rasmi yakifanyika Zanzibar na kujikita katika kuimarisha biashara, uwekezaji, kilimo, madini, nishati, miundombinu, usafirishaji, afya, teknolojia ya kidijitali, amani, usalama na ujumuishaji wa kikanda.

Kwa kuwa Tanzania na DRC ni wanachama wa SADC, ziara hiyo pia inatarajiwa kutoa fursa muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda na masuala yenye maslahi ya pamoja.
IMG-20260817-WA0018.jpg
 
Hivi August 17 hadi August 18 ni siku 3 hizo.?? Au kwa vile sijui hesabu teehtehteh
 
Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda

Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan, unaashiria kuendelea kuimarika kwa uhusiano wa kihistoria, kindugu na kidiplomasia kati ya Tanzania na DRC.

Hii ni ziara yake ya tatu ya kikazi nchini Tanzania baada ya ziara za mwaka 2019 na 2022, huku mazungumzo rasmi yakifanyika Zanzibar na kujikita katika kuimarisha biashara, uwekezaji, kilimo, madini, nishati, miundombinu, usafirishaji, afya, teknolojia ya kidijitali, amani, usalama na ujumuishaji wa kikanda.

Kwa kuwa Tanzania na DRC ni wanachama wa SADC, ziara hiyo pia inatarajiwa kutoa fursa muhimu ya kuimarisha ushirikiano wa kikanda na masuala yenye maslahi ya pamoja.View attachment 3651885
Badala uimarishe uhusiano na mtuu mwenye chakula unaimarisha uhusiano na mtuu ambaye ameshindwa kuiweka familia yake pamoja ni cha zaidi anachoweza kuhusiano na wewe

Mfano mwingine Putin anatia hurumu Ukrain anamtandika kila siku ndio mnatafuta uhusiana
 
Back
Top Bottom