Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipiHuu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.
Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.
Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.
Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
Ww ni mwizi nini ?, mbona unamkandamiza raia mwenzakoHakuna mfanyakazi wa umma wala mtu yeyote aliyelazimishwa.
Ulishauriwa kabisa uombe msaada kwa mtaalamu wako wa masuala ya fedha kabla ya kununua.
Ulifanya hivyo kwa hiari yako, usitafute wa kumlaumu.
HahaaaWakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi
Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi