Rais Tusaidie hisa za vodacom

Rais Tusaidie hisa za vodacom

Mlikuwa mnakatwa kwenye mshahara moja kwa moja au?
wewe hukulazimishwa ila ulishawishiwa
 
issue ya dividend ni lazima ujue kwa kina na ni hatari ukiivamia utaumia
 
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.

Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.

Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.

Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi
 
Hakuna mfanyakazi wa umma wala mtu yeyote aliyelazimishwa.

Ulishauriwa kabisa uombe msaada kwa mtaalamu wako wa masuala ya fedha kabla ya kununua.

Ulifanya hivyo kwa hiari yako, usitafute wa kumlaumu.
Ww ni mwizi nini ?, mbona unamkandamiza raia mwenzako
 
Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi
Hahaaa
Sasa mtu una hisa 500 , hata Hilo gawio likitoka utapaata shilingi ngapi?
Unashangaa unapata elf 20
Upumbavu mitupu
Asubiri ziongezeke thamani halafu auze ili kurudisha Hela yake
 
Wakati wanahisa wa Vodacom wakilalamika kutopata gawio, Management ya Vodacom kila mwaka wanatoa mabilioni ya msaada kweli ukistaajabu ya firauni utayaona ya Vodacom Tanzania. Mwaka huu wametangaza kutoa gawio mwezi wa kumi lakini gawio lenyewe ni sawa na bure. Biashara ya hisa kwa bongo hailipi

The more u the invest ndo jinsi return iko kubwa kama unajua ni wap unawekeza na kuijua n uwezo wako ni kiasi gani .Naweza sema Hisa ni kama gambling tu ya aina nyingne kwamba unakadiria trend ikoje baada ya mada kadhaa je itakuwa imepanda au la?
Kulipa inalipa pale ambapo umenunua bei ya chini na kuuza bei ya juu mfano
CRDB Dec 2022 Hisa ilikuwa 380 na May ilipanda mpaka 520 Kwa mtu ambaye ana Hisa 1000 aliyenunua kipindi hicho jumla 380,000 plus vikodi kodi kama 386,000 sasa kama huyo huyo mtu angeuza may kwa 520 ana 520,000 ukipiga mathe hapo ana faida ya 134,000 so ni patience na kulisoma soko pia lakin mostly advice ni
INVEST WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE [emoji419]
Maana soko lina badilika kama sasa CRDB kashuka mpaka 460 [emoji23] unadhan huyo wa 380 hajaona bado anaimani itapanda tena
 
Back
Top Bottom