Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna changamoto gani huko Pemba?Je Raisi Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba ?
Au wapemba si watu ???
Ni walalamishi sana?Matatizo yote ya Muungano yanatokana na Wapemba,hawa wa unguja tunajua fika ni wenzetu wengi wao ni Wamanyema,Wasukuma& Wakurya.
Pemba wengi ni sisi tuliotokea kusini ,hivyo damu ya Kimakua au kimakonde ipo na ndio ukatuona ni jinsi gani tulivyotayari,hatukubali kuonewa kijinga jinga.Natumai unatujua ni watu wakarimu sana sana kupita malelezo ,lakini kufanywa wapumbavu hilo hatukubali ni ugonvi mkubwa tena usikwisha mpaka kieleweke,Marehemu Seifi alilifanya hilo na aliweka mguu ndani.Matatizo yote ya Muungano yanatokana na Wapemba,hawa wa unguja tunajua fika ni wenzetu wengi wao ni Wamanyema,Wasukuma& Wakurya.
😂😂😂😂Daadee huku Pemba hatuhitajii hata mabilioni,njia zetu mmashimo matupu,viraka mpaka vimpakatana,hebu tembelea,umeme ni wa kumeremeta mara huwo mara kimya.
Weye si raisi wa kuchaguliwa weye unkuja kwa kudura za Allah,hivyo usiangalie chama wala bendera weye angaliaa nchi nzima na wananchiwe,wala usimalize ziarazo zoote huko Tanganyika na Unguja mpaka viatuvyo vikakatika mikanda,kaah,nasi twataka tembelewa na raisi ntu nkee.
Bwanankubwa leo kunkula tenei? Naona kunaanka mapema na mama. Mama yudodoma ana mambo mengi. Machogo wananshika ati hawamwebu ela wajihangaisha vyao tu kwani mpewa hapokonyeki. Nisalimia Mau Mpemba uko. Mwambie lile sufuria la kupikia ile ndizi na tungule intomoka yataka zibwa.Daadee huku Pemba hatuhitajii hata mabilioni,njia zetu mmashimo matupu,viraka mpaka vimpakatana,hebu tembelea,umeme ni wa kumeremeta mara huwo mara kimya.
Weye si raisi wa kuchaguliwa weye unkuja kwa kudura za Allah,hivyo usiangalie chama wala bendera weye angaliaa nchi nzima na wananchiwe,wala usimalize ziarazo zoote huko Tanganyika na Unguja mpaka viatuvyo vikakatika mikanda,kaah,nasi twataka tembelewa na raisi ntu nkee.
Wapemba na Wazanzibar wako bizzy kuwachangia ndugu zao wa Bara kupitia TRA ili maisha yao yaweze kwenda pamoja na chakula chao cha kila siku., TRA kila siku wanaimarisha ofisi zao Zanzibar ihlai zanzibar wana chombo chao ZRB.,Je Raisi Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba ?
Au wapemba si watu ???
Tulishasema muungano uvunjwe mbaki kwenu huko hatuwatakiWapemba na Wazanzibar wako bizzy kuwachangia ndugu zao wa Bara kupitia TRA ili maisha yao yaweze kwenda pamoja na chakula chao cha kila siku., TRA kila siku wanaimarisha ofisi zao Zanzibar ihlai zanzibar wana chombo chao ZRB.,
Mama analijua hili lakini ndio hakuna namna Watanganyika na wao wanahitaji kuchangiwa kutoka Zanzibar ndio mana Muungano kina Lukuvi hayuko tayari kuviacha visiwa ndivyo vinavyowalisha mara tatu kwa siku.
Mchukueni arudi hukoPemba wengi ni sisi tuliotokea kusini ,hivyo damu ya Kimakua au kimakonde ipo na ndio ukatuona ni jinsi gani tulivyotayari,hatukubali kuonewa kijinga jinga.Natumai unatujua ni watu wakarimu sana sana kupita malelezo ,lakini kufanywa wapumbavu hilo hatukubali ni ugonvi mkubwa tena usikwisha mpaka kieleweke,Marehemu Seifi alilifanya hilo na aliweka mguu ndani.
Tuache ukabila,simpo nimeuliza Chachi Samia kanwahi kanyaga Pemba tangu Allah amruzuku neema ya kuwa Raisi ? Ni hilo tu,hayo mnayochomekea hayana nafasi kihiiiyvyooo !
Marais wote wazanzibar sijui mnalialia nn na nyie mlitaka mchumi wa buluuJe Raisi Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba ?
Au wapemba si watu ???