- Thread starter
- #21
Raisi Samia kama wayasoma haya natumai utayazingatia kwa marefu na mapana,wala wasikuvunje moyo hao,inawezekana timiza wajibu wako ,usharanda mikoa karibia yote na kubwaga mabilioni,basi sie nguguzo usije tusahau,tufungia safari tena kwa vifijo na nderemo ,hatuna nchele wa kukulisha lakini masheli yan'jaa yatele ,japo skuu ya eid lfitir njoo utuliwaze nasi tufurahie.