Rais Uhuru aanza kwa kikao kikubwa na wawekezaji wa Marekani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rais Uhuru ambaye yuko Marekani kujadili mambo muhimu yakiwemo uwekezaji Kenya, na pia usalama na amani ukanda wote huu wa Afrika Mashariki na kati, leo amekua na kikao kikubwa kilichowahusisha wawekezaji wa kampuni kubwa kubwa za kutajika Marekani.

Rais Uhuru yuko kwenye ratiba kali sana ya kukutana na viongozi wa mataifa makubwa kama vile Uingereza, China n.k.

DlnemzuXcAAL-FZ.jpg:large

Dlnehw7WsAALWMM.jpg:large

President @UKenyatta has asked American companies to partner with Government in delivering its development agenda as they expand their business to Kenya. The Investors roundtable, was organized by US Commerce Secretary, @SecretaryRoss and @BCIU #TransformingDiplomacyKE

W

Acha akafanye kazi yake Kama rais. Huo ndio huduma wa kulipia ile pesa tunalipa yeye.
 
Back
Top Bottom