Rais Uhuru afanya vikao faraghani na Kagame na Museveni ili kuwapatanisha



unajua mfano mdogo wa malori ya mafuta toka rwanda kupakia mzigo Kenya yanatumia km 880 iv lkn kwa Tz wanatumia km 1000 na kitu iv JAPO Advantage kwa upande wa TZ nasikia kasi ya upakuaji wa mzigo wa mafuta ni wa speed kidogo kuliko KE kuna online news nilisoma mwaka jana nililikuta hili likizungumziwa na warwanda wenyewe
 
Reactions: B51
Wiki hii wanyarwanda wengi wameingia bongo,wengine wamefika mpaka zanzibar kuangalia fursa
 
Uhuru angeanza kuondoa ukabila nchini kwake kwa kuwapatanisha wajaluo na wakikuyu angefanya jambo la maana sana,kuliko kuuvaga mkenge wa huu mgogoro wa ok na m7,maana wale wanajuana
 
Tanzania hakuna itakacho adhirika ndugu !! alafu Tz ilishasimama kidete sana kutetea nchi zingine na hatukupata faida yeyote zaidi zaidi dharau tu toka kwa nchi zilizo saidiwa embu na kenya ichukue majukumu kidogo

Hapo Burundi hubabaishana kidogo wenyewe ndani mnapokea nyomi ya wakimbizi hadi mnaanza kulialia.
 
Kama unawafatilia paka na m7 nadhani unaikumbuka ambush waliyofanyiwa UPDF

Sasa nadhani PK hata kama mgogoro huu ukiisha hatokua na imani mizigo yake kupita uganda tena (hasa mizigo ya serekali ) kwa maana m7 anaweza kutaka kulipa kisasi cha kisangani kwa kuikamata mizigo ya pk maana dah.....
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hapo Burundi hubabaishana kidogo wenyewe ndani mnapokea nyomi ya wakimbizi hadi mnaanza kulialia.

This time hatutapokea kiumbeee unless wa congoman !! Zaidi zaidi tutawatolea njia wa nyarwanda wapite kuja kenya ....
 

IT cargos hazipaswi kugadhibiwa kaka
 
This time hatutapokea kiumbeee unless wa congoman !! Zaidi zaidi tutawatolea njia wa nyarwanda wapite kuja kenya ....

Wewe hapo kitaani Dar huna jeuri ya kusema 'sisi'.
Kuna wenye nchi ndio hufanya hayo maamuzi. JPM kwa PK amenasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…