Rais Uhuru afanya vikao faraghani na Kagame na Museveni ili kuwapatanisha

Rais Uhuru afanya vikao faraghani na Kagame na Museveni ili kuwapatanisha

Inamaana Mombasa to Rwanda ni jirani kuliko Dar to Rwanda? Au kuna njia rahisi zaidi? Au kuna maslah zaidi kwa pande zote kutumia bandari ya Mombasa kuliko Dar? Ushkaji wa JPM na PK mbona ni wakaribu sana kuliko wa PK na Uhuru Kenyatta?
Ina maana mpaka sasa Rwanda inatumia zaidi bandari ya Mombasa kuliko Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app

unajua mfano mdogo wa malori ya mafuta toka rwanda kupakia mzigo Kenya yanatumia km 880 iv lkn kwa Tz wanatumia km 1000 na kitu iv JAPO Advantage kwa upande wa TZ nasikia kasi ya upakuaji wa mzigo wa mafuta ni wa speed kidogo kuliko KE kuna online news nilisoma mwaka jana nililikuta hili likizungumziwa na warwanda wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: B51
Mpaka sasa raia wa rwanda hawana imani na Uganda tena nadhani mpaka kufikia hapa tayari rwanda lazima aegemee zaidi bandari ya tz

Kumbuka haka kamr slim kalivyowafanyia ambush UPDF aliyakuwa walikuwa tayari wameyamaliza

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wiki hii wanyarwanda wengi wameingia bongo,wengine wamefika mpaka zanzibar kuangalia fursa
 
Uhuru angeanza kuondoa ukabila nchini kwake kwa kuwapatanisha wajaluo na wakikuyu angefanya jambo la maana sana,kuliko kuuvaga mkenge wa huu mgogoro wa ok na m7,maana wale wanajuana
 
Tanzania hakuna itakacho adhirika ndugu !! alafu Tz ilishasimama kidete sana kutetea nchi zingine na hatukupata faida yeyote zaidi zaidi dharau tu toka kwa nchi zilizo saidiwa embu na kenya ichukue majukumu kidogo

Hapo Burundi hubabaishana kidogo wenyewe ndani mnapokea nyomi ya wakimbizi hadi mnaanza kulialia.
 
Kama unawafatilia paka na m7 nadhani unaikumbuka ambush waliyofanyiwa UPDF

Sasa nadhani PK hata kama mgogoro huu ukiisha hatokua na imani mizigo yake kupita uganda tena (hasa mizigo ya serekali ) kwa maana m7 anaweza kutaka kulipa kisasi cha kisangani kwa kuikamata mizigo ya pk maana dah.....
rwanda hajafanya ambush yeyote ndugu ! nikukumbushe ukifika Katuna border (upande wa Uganda) hakuna askari yeyote ila Gatuna (upande wa rwanda) kuna askari wa rwanda,.. kwa upande wa rwanda kutumia bandari ya dsm ni mapema sana kusema lkn kwa taarifa tu zilizopo ni kwamba baadhi ya malori yaliyokuwa yanatumia mpaka wa katuna wameanza kutumia mpaka mwingine ule {jina limenitoka kidogo) hivyo bas hii inanyoshe bado matumizi ya bandari ya Mombasa kwa rwanda yapo pale pale

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hapo Burundi hubabaishana kidogo wenyewe ndani mnapokea nyomi ya wakimbizi hadi mnaanza kulialia.

This time hatutapokea kiumbeee unless wa congoman !! Zaidi zaidi tutawatolea njia wa nyarwanda wapite kuja kenya ....
 
Kama unawafatilia paka na m7 nadhani unaikumbuka ambush waliyofanyiwa UPDF

Sasa nadhani PK hata kama mgogoro huu ukiisha hatokua na imani mizigo yake kupita uganda tena (hasa mizigo ya serekali ) kwa maana m7 anaweza kutaka kulipa kisasi cha kisangani kwa kuikamata mizigo ya pk maana dah.....

Sent using my iPhone using jamiiforum app

IT cargos hazipaswi kugadhibiwa kaka
 
This time hatutapokea kiumbeee unless wa congoman !! Zaidi zaidi tutawatolea njia wa nyarwanda wapite kuja kenya ....

Wewe hapo kitaani Dar huna jeuri ya kusema 'sisi'.
Kuna wenye nchi ndio hufanya hayo maamuzi. JPM kwa PK amenasa.
 
Back
Top Bottom