Rais Uhuru akamilisha mbio za kilomita 2

Rais Uhuru akamilisha mbio za kilomita 2

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hongera mheshimiwa rais, ile tu umekimbia japo kilomita chache, umeonyesha ujasiri na uwezo mkubwa na uhamasishaji, na pia umetutia moyo haswa kwa sisi ambao tumekatiza umbali wote wa kilomita 21.
-----------------------------------

-1MHkpyn6zrOIOyLLUT1kn4y_3QdPoOIwCfqjXSjJ659F4c7_5nmFQWkJv8w1fttVzi8LHKUt42vkmBknwosAzG1iVNB=s750

• Statehouse said this year’s edition will continue to support the advocacy around nine critical health areas affecting Kenyans.

• The intervention areas include zero maternal deaths, zero child deaths, a healthy lifestyle for the elderly, zero new HIV infections and zero child marriages.

President Uhuru Kenyatta on Sunday led other leaders in participating in the fifth edition of the Beyond Zero half marathon.
Uhuru and other dignitaries managed a 2.6km race before he was received by the First lady on the finish line.
President Uhuru Kenyatta is hugged by first lady Margaret Kenyatta after finishing a 2.6km race during the 2020 Beyond Zero half marathon
President Uhuru Kenyatta is hugged by first lady Margaret Kenyatta after finishing a 2.6km race during the 2020 Beyond Zero half marathon
Image: EZEKIEL AMINGÁ
Uhuru dawned at the Nyayo National stadium in blue jeans and white t-shirt in the company of other politicians to support the First lady Margaret Kenyatta who is behind the drive.

Nairobi governor Mike Sonko, his Machakos counterpart Alfred Mutua and Wiper leader Kalonzo Musyoka were present.
First Lady Margaret Kenyatta arrives at Nyayo for the fifth edition of the Beyond Zero half marathon
First Lady Margaret Kenyatta arrives at Nyayo for the fifth edition of the Beyond Zero half marathon
Image: PSCU
Sports CS Amina Mohamed accompanied by Mutahi Kagwe-Health, Betty Maina-Trade and Education PS Belio Kipsang also participated.
First lady Margaret Kenyatta did not, however, take part in the race.
The event saw a heavy traffic snarl-up after several roads were closed.
President Uhuru Kenyatta does some stretching before starting the race
President Uhuru Kenyatta does some stretching before starting the race
Image: EZEKIEL AMING'A
This included Mombasa road, Lusaka, Aerodrome, Bunyala, Haile Selassie, Kenyatta Avenue, University Way and Waiyaki Way.
Statehouse said this year’s edition will continue to support the advocacy around nine critical health areas affecting Kenyans.
President Uhuru Kenyatta during the 2020 Beyond Marathon half marathon
President Uhuru Kenyatta during the 2020 Beyond Marathon half marathon
Image: EZEKIEL AMING'A
"The intervention areas include zero maternal deaths, zero child deaths, a healthy lifestyle for the elderly, zero new HIV infections and zero child marriages," Statehouse wrote on its twitter page.

Others are zero Female Genital Mutilation (FGM), early screening for cancer, inclusion of persons with disability and better nutrition for all children.

-jaJzGtAaAdc_o5c9iNGRKagPIB9HsX03osu2qvpkmKJLQZXFPoCPbhAk0a-bZtKiHsS0Pv8sJunOiM8-Dj57iYoXn4=s750

EZEKIEL AMINGA
Su37sGBRm_cjHx6eDvl_nrP5nnhdnUUeYMcH7a0XUMvTC5bCLLgY3cNH-giXWQlVckmBLnuHm2dQJrWQa5ZbyzExPk_Y=s750

EZEKIEL AMINGA
swk_1mAg7qq0V6LGROBwUh-_-_C_Jqs60nkP0Ufzci0raqf1tu8MU0S-Y_3zRjKBuRPrVG8-QKoMTVkHM_prNkoIkDa-=s750

EZEKIEL AMINGA

(PHOTOS) Uhuru finishes 2.6km in 2020 Beyond zero marathon
 
Hongera zake kwa kutoa support kwa First Lady's Beyond Zero Marathon na kwa wakenya pia kwa kupokea wito wa Maggie na kushiriki kwa wingi. Ila kwenye mbio zenyewe nampa Uhuru F. Rais anamlet down sana Maggie, yaani mke wake afanye mazoezi kwa muda mrefu na afanikiwe kumaliza 21km zote kwa mwaka sijui kama ni wa nne sasa? Alafu Uhuru afike kwenye mbio akiwa amevalia jeans! [emoji1] Nilisikia MC akimtania rais, alipofika Finish Line, eti kwamba amefanikiwa kumaliza kukimbia 26,000, centimetres! [emoji1] Mleta mada tupe mrejesho, mwaka huu sijashiriki kwenye marathon yeyote. Ulimaliza mbio zenyewe ama ulizima mapema kisha ukasaidiwa kumaliza ukiwa umebebwa kwenye machela? 😀
 
Hongera zake kwa kutoa support kwa First Lady's Beyond Zero Marathon na kwa wakenya pia kwa kupokea wito wa Maggie na kushiriki kwa wingi. Ila kwenye mbio zenyewe nampa Uhuru F. Rais anamlet down sana Maggie, yaani mke wake afanye mazoezi kwa muda mrefu na afanikiwe kumaliza 21km zote kwa mwaka sijui kama ni wa nne sasa? Alafu Uhuru afike kwenye mbio akiwa amevalia jeans! [emoji1] Nilisikia MC akimtania rais, alipofika Finish Line, eti kwamba amefanikiwa kumaliza kukimbia sentimita 2,600. [emoji1] Mleta mada tupe mrejesho, mwaka huu sijashiriki kwenye marathon yeyote. Ulimaliza mbio zenyewe ama ulizima mapema kisha ukasaidiwa kumaliza ukiwa umebebwa kwenye machela? 😀

Usimseme sana rais maana nilikua nakerwa siku zote kumuona kwenye kila mbio anakaa akisubiri ampokee mkewe, ila kwa leo jamaa kaamua isiwe tabu, kwa jeans hivyo hivyo tu, inawezekana hakua amekusudia kukimbia, kashtukizwa na kusukumiziwa na wapambe na mkewe mpaka akajitosa humo humo.
Atleast kwa sasa tunaye rais na mkewe, makamu wa rais na mkewe wakimbiaji. Tuwaone akina Raila pia..hehehehe

Hii hapa chini shughuli yangu, kama kawa lazima nikamilishe, licha ya kasi yangu kutoridhisha lakini lazima cha msingi ni kukamilisha.

strava1.jpg

strava2.jpg
 
Usimseme sana rais maana nilikua nakerwa siku zote kumuona kwenye kila mbio anakaa akisubiri ampokee mkewe, ila kwa leo jamaa kaamua isiwe tabu, kwa jeans hivyo hivyo tu, inawezekana hakua amejiandaa, kashtukizwa na kusukumiziwa na wapambe na mkewe mpaka akajitosa humo humo.
Atleast kwa sasa tunaye rais na mkewe, makamu wa rais na mkewe wakimbiaji. Tuwaone akina Raila pia..hehehehe

Hii hapa chini shughuli yangu, kama kawa lazima nikamilishe, licha ya kasi yangu kutoridhisha lakini lazima cha msingi ni kukamilisha.

View attachment 1380971

View attachment 1380974

May be nyie mnakimbia serious. Hongereni sana mko na mfano mzuri wa familia kwa kuangalia viongozi wenu.
 
Usimseme sana rais maana nilikua nakerwa siku zote kumuona kwenye kila mbio anakaa akisubiri ampokee mkewe, leo kaamua, kwa jeans hivyo hivyo tu. Tuwaone akina Raila pia..hehehehe
Hii hapa chini shughuli yangu, kama kawa lazima nikamilishe, licha ya kasi yangu kutoridhisha lakini lazima cha msingi ni kukamilisha.
View attachment 1380971
View attachment 1380974
Safi sana, naona avarage speed yako, 6:12/km, ni impressive sio mbaya kama unavosema. Hongera jombaa. Umesema kweli, rais amefanya jambo la busara kutoa support yake na ya GOK pia kwa kukimbia. Badala ya kumngoja tu First Lady kwa Finish Line kama miaka hiyo mingine. Natarajia atajiboresha zaidi mwaka ujao, hata kama itakuwa ni kwa shinikizo 'kutoka juu'. Maanake najua leo angekosa kushiriki ikulu hakungekalika, angenuniwa hadi akome. [emoji1] Raila acha akomalie tu kwa handshake, hatuna hamu kabisa na misiba ya kujitakia. 😀
 
Hiyo 6.12 hamna kitu hapo, wewe waza kajitu kama Kipchoge anakupigia 2.59 halafu anakimbia kilomita 42 chini ya masaa mawili, ilhali mimi nahemea kilomita 21km zaidi ya masaa mawili udenda wote nje nje.
Kipchoge alihojiwa akasema kila binadamu anaweza tu, ila naona huo ni uwongo, haya mavitu yana wenyewe, kwa mfano leo wakati sisi tunahema na kuhisi kufa baada ya kilomita tano, kuna majitu yalikua upande wa pili wa barabara yakiwa kwenye hatua za mwisho za kukamilisha, mpaka wengine tukajisahau na kuanza kuwashabikia.
 
Hongera zake kwa kutoa support kwa First Lady's Beyond Zero Marathon na kwa wakenya pia kwa kupokea wito wa Maggie na kushiriki kwa wingi. Ila kwenye mbio zenyewe nampa Uhuru F. Rais anamlet down sana Maggie, yaani mke wake afanye mazoezi kwa muda mrefu na afanikiwe kumaliza 21km zote kwa mwaka sijui kama ni wa nne sasa? Alafu Uhuru afike kwenye mbio akiwa amevalia jeans! [emoji1] Nilisikia MC akimtania rais, alipofika Finish Line, eti kwamba amefanikiwa kumaliza kukimbia 26,000, centimetres! [emoji1] Mleta mada tupe mrejesho, mwaka huu sijashiriki kwenye marathon yeyote. Ulimaliza mbio zenyewe ama ulizima mapema kisha ukasaidiwa kumaliza ukiwa umebebwa kwenye machela? 😀

uki trace back origin ya uhuru kenyatta ni mzaramo maana kazaliwa darisalama
so usishangae anawawakilisha ndugu zake wanaume wa dar

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo 6.12 hamna kitu hapo, wewe waza kajitu kama Kipchoge anakupigia 2.59 halafu anakimbia kilomita 42 chini ya masaa mawili, ilhali mimi nahemea kilomita 21km zaidi ya masaa mawili udenda wote nje nje.
Kipchoge alihojiwa akasema kila binadamu anaweza tu, ila naona huo ni uwongo, haya mavitu yana wenyewe, kwa mfano leo wakati sisi tunahema na kuhisi kufa baada ya kilomita tano, kuna majitu yalikua upande wa pili wa barabara yakiwa kwenye hatua za mwisho za kukamilisha, mpaka wengine tukajisahau na kuanza kuwashabikia.
katumia muda gani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom