Mbwembe zitakuua wewe jamaa. Hapo kwenu ndo mnaongoza kutangaza rais ambaye hajashinda mkamwacha mshindi. Kumbuka kibaki 2007 hakushinda ila ndo majaji wenu walimwapisha kama rais! Mwaka huu mmerudia tena, na pengine mtarudia tena na tena.
Halafu naona unashadadia suala la kunyeshewa na mvua eti kwa kusaka kura! Badala ya kuwaurumia hao wakenya maskini hapo barabarani wanaonyeshewa na mvua ambao hawana hata pesa ya kununua pain killers kutokana na maumivu watakayoyapata hapo, wewe unashadadia mtu ambaye check up yake inaenda kufanyika ulaya kwa pesa za walipa kodi maskini wa Kenya!