Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Ingekuwa vyema aende Western yote huko ambako hupataga kura kidogo. Maana Central & Rift Valley (Kikuyuz & Kalenjiniz) ameshapataobvious kisumu hana kura,akuna haja lkni aibe asiibe stll ni lazima arudi uongozini
Alikuwa western juzi juzi tu wakiwa na spika Lusaka.Ingekuwa vyema aende Western yote huko ambako hupataga kura kidogo. Maana Central & Rift Valley (Kikuyuz & Kalenjiniz) ameshapata
Kenya sio kama Tanzania ambapo huwa mnaigiza igizo fulani kwa kujidanganya eti mnapiga kura ilhali rais alishateuliwa na kutawazwa pale Dodoma.
Kwetu lazima usake kura, utoke nje unyeshewe, uchomwe kwa jua kali na kupitia mateso yote hayo ili ueleze sera zako.
Duuh we jamaa umetishaAkili za kijinga hizi.
Wewe ukipita mock exams hua unalala unangoja mtihani mkuu?
Mbwembe zitakuua wewe jamaa. Hapo kwenu ndo mnaongoza kutangaza rais ambaye hajashinda mkamwacha mshindi. Kumbuka kibaki 2007 hakushinda ila ndo majaji wenu walimwapisha kama rais! Mwaka huu mmerudia tena, na pengine mtarudia tena na tena.
Halafu naona unashadadia suala la kunyeshewa na mvua eti kwa kusaka kura! Badala ya kuwaurumia hao wakenya maskini hapo barabarani wanaonyeshewa na mvua ambao hawana hata pesa ya kununua pain killers kutokana na maumivu watakayoyapata hapo, wewe unashadadia mtu ambaye check up yake inaenda kufanyika ulaya kwa pesa za walipa kodi maskini wa Kenya!
ukiangalia matokeo ya Kenya 2017 na tz 2015 utaona tofauti ni ndogo sana! Maana kenya ilikuwa 54.17% kwa 44.94% wakat tz ilikuwa 58.46% kwa 39.97%. Halafu hapo useme hakuna ushindani!Bora kwetu huwa kuna ushindani, kwenu hapo huwa mnatawaza kabisa, mengine yanabaki usanii wa kupiga mipushup tu na kusubiri siku ya kuapishwa.