Rais Uhuru asafiri Mauritius na kuingia mikataba ya kufungua soko kwa ajili ya mazao yetu

Rais Uhuru asafiri Mauritius na kuingia mikataba ya kufungua soko kwa ajili ya mazao yetu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mauritius ambayo ipo SADC ni kisiwa kinachokua kwa kasi, rais Uhuru ametia kambi huko kwa safari ya siku nne na ameanza kwa kuingia nao mikataba ya kufungua masoko. Anaendelea na majadiliano, yaani kila safari huwa imepangwa kimikakati na kimaslahi.
------------------------

CSs Monica Juma (Foreign Affairs) and Prof. George Magoha (Education) in Mauritius.

CSs Monica Juma (Foreign Affairs) and Prof. George Magoha (Education) in Mauritius.

President Uhuru Kenyatta on Wednesday signed a deal to have avocados exported to Mauritius.

According to Foreign Affairs CS Monica Juma, other Kenyan foods that will also access the Mauritian market include baby carrots and broccoli.

“Appreciating Kenya’s avocado that is now approved to get into the Mauritian market…” a tweet from Amb. Juma reads.

President Kenyatta arrived in Port Louis, Mauritius on Tuesday evening for a four-day State visit.

The Head of State held talks with his Mauritian counterpart Paramasivum Pillay Vyapoory at State House, Le Réduit and later Prime Minister Pravind Jugnauth.

“The visit to the Republic of Mauritius offers a great opportunity to strengthen the brotherly ties that exist between the two nations,” State House Kenya said on Twitter.

President Kenyatta is expected to attend a business forum organised by the Mauritius Economic Development Board.

The meeting is in collaboration with the Mauritius Chamber of Commerce and Industry, the Kenya Private Sector Alliance (KEPSA) and the Kenya Investment Authority.

It will be used to showcase trade and investment opportunities between Mauritius and Kenya.

President Kenyatta is accompanied by Cabinet Secretaries Monica Juma (Foreign Affairs) and Prof. George Magoha (Education) among other senior government officials.

https://citizentv.co.ke/news/uhuru-...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
 
Kazi zingine unawachia Waziri wa mambo ya nje..mabalozi Tz wanaleta wawekezaji na mabillioni ya dola..Yaani wanatumika vilivyo bila ya kuhushisha Rais wao kwa vitu vidogo vidogo

Huyo mawe wenu ni primitive and a thickset. The ambassadors you are talking about are non existent. Danganyika is a non starter on the family of nations
 
Kazi zingine unawachia Waziri wa mambo ya nje..mabalozi Tz wanaleta wawekezaji na mabillioni ya dola..Yaani wanatumika vilivyo bila ya kuhushisha Rais wao kwa vitu vidogo vidogo
Alafu wanamuacha bosi wao Jiwe kule Chato akiteseka na kazi za ajabu ajabu kama kuvamia forex, kubangua korosho na kupaka ndege rangi ya nyumba. [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Alafu wanamuacha bosi wao Jiwe akiteseka na kazi za kubangua korosho na kupaka ndege rangi. [emoji1][emoji1][emoji1]
Korosho zimeuzwa na wakulima wamelipwa..Ndege tutapaka mkojo kesho tulete nairobi..Hiyo ni kazi raisi sana hata jiwe anaweza fanya asubuhi kabla anywe chai
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Korosho zimeuzwa na wakulima wamelipwa..Ndege tutapaka mkojo kesho tulete nairobi..Hiyo ni kazi raisi sana hata jiwe anaweza fanya asubuhi kabla anywe chai
Siumesema mwenyewe kwamba Jiwe huwa hafanyi kazi 'ndogo ndogo' kama kuzuru nchi zingine kwa ziara rasmi na kuketi kwenye vikao na marais wa nchi hizo? Kazi zinazomkeep busy ni za maana sana kama za kununua madiwani na kubangua korosho.
 
Alafu mbona hayo maparachichi yanatoka huku. ngoja msaini mikataba alafu tufunge mpaka , sijui mtauza nini?
 
Fursakibao naona unahangaika sana kwenye hizi nyuzi mara parachichi mara western by pass 25km yani ndefu kuliko kibaka na haturingi.
 
Kilicho nifurahisha zaidi ni Makubaliano ya Mauritious kuwekeza kwa EPZ hapa Kenya manake kule kwao hawana ardhi ya kutosha..... Walete kazi zao huku tutawatengezea kila kitu!
 
Alafu mbona hayo maparachichi yanatoka huku. ngoja msaini mikataba alafu tufunge mpaka , sijui mtauza nini?
Unaumwa, Kenya kuna wakulima serious sana wanaofanya ukulima biashara wa maparachichi na macadamia. Tena mikataba ya export ya maparachichi huwa ni ya moja kwa moja kati ya wakulima na exporters, sio madalali. Maparachichi ya export ni ya kisasa, yale yanayofanyiwa grafting sio yale ya misimu ya uswahili. Yale ambayo huwa yanasubiriwa yadondoke ndio wakulima washibe. Yangekuwa yanatoka Tz Kenya haingekuwa mzalishaji mkuu wa maparachichi Afrika. Bila kusahau kwamba Jiwe lazima angejenga ukuta mkubwa sana wa kuzunguka mashamba yote ya maparachichi Tz. [emoji1]
 
Wamepokea ripoti yake maana hamna jinsi, halafu akaita wana habari na kutiririka madudu ya hiyo ripoti, aise Bongo mafisadi, yaani hawana huruma nchi maskini lakini wanaitafuna noma.
Sisi huku ukifisadi hauachwi salama na hakuna atayekuchekea sio kama huko mnavyomkenulia ruto anavyoiba miburungutu ya pesa huku akisema "mbona nimeoba kidogo Tu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Unaumwa, Kenya kuna wakulima serious sana wanaofanya ukulima biashara wa maparachichi na macadamia. Tena mikataba ya export ya maparachichi huwa ni ya moja kwa moja kati ya wakulima na exporters, sio madalali. Maparachichi ya export ni ya kisasa, yale yanayofanyiwa grafting sio yale ya misimu ya uswahili. Yale ambayo huwa yanasubiriwa yadondoke ndio wakulima washibe. Yangekuwa yanatoka Tz Kenya haingekuwa mzalishaji mkuu wa maparachichi Afrika. Bila kusahau kwamba Jiwe lazima angejenga ukuta mkubwa sana wa kuzunguka mashamba yote ya maparachichi Tz. [emoji1]
Kama hujui tu parachichi za Tanzania zina uspesho duniani kutokana na msimu wake na msimu wa duniani pia ni kweli kabisa almost 50% ya parachichi za export Kenya zinatoka Tanzania

Hamna lolote kwenye kilimo cha parachichi kuizidi Tanzania

Back
Top Bottom