Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz mzee anazurura kama mjumbe wa nyumba kumi akishafika dar kazi yake kutuma watu na kuomba mikopo, lugha haijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mawe wenu ni primitive and a thickset. The ambassadors you are talking about are non existent. Danganyika is a non starter on the family of nations
Wa hapa kwetu Tanzania alisema haendi nje ya nchi yuko busy anainyoosha nchi cha kushangaza report ya CAG imetoka leo serikali ya CCM imejaa ufisadi kila idara.
Kenyatta safiri baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui tu parachichi za Tanzania zina uspesho duniani kutokana na msimu wake na msimu wa duniani pia ni kweli kabisa almost 50% ya parachichi za export Kenya zinatoka Tanzania
Hamna lolote kwenye kilimo cha parachichi kuizidi Tanzania
Kilimo cha parachichi cha kisasa {export points} kinafinyika karibuni maeneo yote Tanzania
Arusha
Njombe
Kilimanjaro
Etc
Humuoni ng'oo, amefyata!...tanzagiza kwa ukulima wa maparachichi na export bado iko ligi ndogo, bado inavalia diapers hapo. mkifika hii level unitag
View attachment 1068198
Keshakula kona huyu jikuu cha magugumaji.tanzagiza kwa ukulima wa maparachichi na export bado iko ligi ndogo, bado inavalia diapers hapo. mkifika hii level unitag
View attachment 1068198
Vipi ile ripoti ya gari la Chadema?Wa hapa kwetu Tanzania alisema haendi nje ya nchi yuko busy anainyoosha nchi cha kushangaza report ya CAG imetoka leo serikali ya CCM imejaa ufisadi kila idara.
Korosho zinaoza maghalani. Kampuni ya Kenya Indo power imeingia mitini.Korosho zimeuzwa na wakulima wamelipwa..Ndege tutapaka mkojo kesho tulete nairobi..Hiyo ni kazi raisi sana hata jiwe anaweza fanya asubuhi kabla anywe chai
Hapa mzee wa tweets hutamuona. Yaani yeye akishatupia picha mbili tatu kwa akili zake hapo huwa anajua tayari amemaliza. Akiona takwimu sasa ndio huwa anaanza kuteswa na allergy.tanzagiza kwa ukulima wa maparachichi na export bado iko ligi ndogo, bado inavalia diapers hapo. mkifika hii level unitag
View attachment 1068198
REDEEMER propaganda machine ya ccm amejificha chini ya kitanda[emoji38] kama haunge mpa data angefungua uzi mwingine na aseme Tanzania ndio largest avocado exporter in East and Central African alafu aende mshahara kwa ccm .tanzagiza kwa ukulima wa maparachichi na export bado iko ligi ndogo, bado inavalia diapers hapo. mkifika hii level unitag
View attachment 1068198
Huyo jamaa huwa amechanganyikiwa kupindukia, tulibishana sana humu hilo dili lilipofanikishwa. Nikamueleza hela bado ila akanitupia cheche za matusi na kuniambia kwamba sijui lolote.Korosho zinaoza maghalani. Kampuni ya Kenya Indo power imeingia mitini.
ile inatakiwa ifanyiwe kazi haraka na muhusika ashuhulikiwe kwa mujibu wa sheria.Vipi ile ripoti ya gari la Chadema?
Humuoni ng'oo, amefyata!...
tanzagiza kwa ukulima wa maparachichi na export bado iko ligi ndogo, bado inavalia diapers hapo. mkifika hii level unitag
View attachment 1068198
How does what you've posted helped prove your allegation?..I can only see that the value in supply of Kenyan export is bigger than that of Tanzania.View attachment 1068892
Kitu kinachowabeba ni kuchukua raw avocado na kwenda kuzipack Kenya, na kitendo cha packed avocado kutoka Tanzania kuwa transported through Kenya, otherwise hakuna mnachoizidi Tanzania kwenye hili
huyu muwache, amejaza kamasi kichwani! hata kwa soko moja(UK) alilopost, Kenya imechapa tz kwa volume na value ya export. Hajielewi hata kidogo, kazi ni kupost picha toka twitter tu.How does what you've posted helped prove your allegation?..I can only see that the value in supply of Kenyan export is bigger than that of Tanzania.
huyu muwache, amejaza kamasi kichwani! hata kwa soko moja(UK) alilopost, Kenya imechapa tz kwa volume na value ya export. Hajielewi hata kidogo, kazi ni kupost picha toka twitter tu.
Huku ndio parachichi zinazopendwa ulimwenguni kote zinapotokaHow does what you've posted helped prove your allegation?..I can only see that the value in supply of Kenyan export is bigger than that of Tanzania.