Still you've said nothing to support your claim, it wasn't about which avocados are loved most but who calls the shots in terms of export. That's how people fail exams!.Huku ndio parachichi zinazopendwa ulimwenguni kote zinapotoka
leta ripoti inayo onyesha kuwa maparachichi ya tz(ambayo hayajulikani katika soko la kimataifa btw) yanapendwa zaidi. mapicha ya kipuuzi hayatakusaidia.Huku ndio parachichi zinazopendwa ulimwenguni kote zinapotoka
Mauritius ambayo ipo SADC ni kisiwa kinachokua kwa kasi, rais Uhuru ametia kambi huko kwa safari ya siku nne na ameanza kwa kuingia nao mikataba ya kufungua masoko. Anaendelea na majadiliano, yaani kila safari huwa imepangwa kimikakati na kimaslahi.
------------------------
CSs Monica Juma (Foreign Affairs) and Prof. George Magoha (Education) in Mauritius.
President Uhuru Kenyatta on Wednesday signed a deal to have avocados exported to Mauritius.
According to Foreign Affairs CS Monica Juma, other Kenyan foods that will also access the Mauritian market include baby carrots and broccoli.
βAppreciating Kenyaβs avocado that is now approved to get into the Mauritian marketβ¦β a tweet from Amb. Juma reads.
President Kenyatta arrived in Port Louis, Mauritius on Tuesday evening for a four-day State visit.
The Head of State held talks with his Mauritian counterpart Paramasivum Pillay Vyapoory at State House, Le RΓ©du
it and later Prime Minister Pravind Jugnauth.
βThe visit to the Republic of Mauritius offers a great opportunity to strengthen the brotherly ties that exist between the two nations,β State House Kenya said on Twitter.
President Kenyatta is expected to attend a business forum organised by the Mauritius Economic Development Board.
The meeting is in collaboration with the Mauritius Chamber of Commerce and Industry, the Kenya Private Sector Alliance (KEPSA) and the Kenya Investment Authority.
It will be used to showcase trade and investment opportunities between Mauritius and Kenya.
President Kenyatta is accompanied by Cabinet Secretaries Monica Juma (Foreign Affairs) and Prof. George Magoha (Education) among other senior government officials.
https://citizentv.co.ke/news/uhuru-...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Haya enda kalishe ovacado na chai hao watu wanaokufa na njaa huko neglected kaskazini kenya. Pombe washapewa na wachina.huyu muwache, amejaza kamasi kichwani! hata kwa soko moja(UK) alilopost, Kenya imechapa tz kwa volume na value ya export. Hajielewi hata kidogo, kazi ni kupost picha toka twitter tu.
wewe hunanga substance, ushabiki tu wa kijinga. kwa wanalumumba wewe utakuwa ni mpigadeki.Haya enda kalishe ovacado na chai hao watu wanaokufa na njaa huko neglected kaskazini kenya. Pombe washapewa na wachina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa njaa mliokuwa nayo hayo maparachichi mtakula wenyeweParachichi all the way hapa wakulima wamepata hela. Hapa kwetu bongo koroshow karibu zivunwe na JWTZ.
Still you've said nothing to support your claim, it wasn't about which avocados are loved most but who calls the shots in terms of export. That's how people fail exams!.
leta ripoti inayo onyesha kuwa maparachichi ya tz(ambayo hayajulikani katika soko la kimataifa btw) yanapendwa zaidi. mapicha ya kipuuzi hayatakusaidia.
Tena usisahau mada ni kuhusu exports(quantity, quality na value) hapo ndio utajiharia kama mtoto.
Sisi avocado's zetu zinagombewa ulimwenguni kote wanataka avocado's kutoka Tanzania, juzi TIC institution for international business imepokea zaidi ya maombi ya tons million 3 za avocado's tena wote ni wa Ulaya, America na Asia Pacific bila kusahau UAE, sisi hatuna muda na kasoko Ka Africa sababu hakana maslahiREDEEMER propaganda machine ya ccm amejificha chini ya kitanda[emoji38] kama haunge mpa data angefungua uzi mwingine na aseme Tanzania ndio largest avocado exporter in East and Central African alafu aende mshahara kwa ccm .
Sent using Jamii Forums mobile app
Substance my feet, watu wenu mmewaneglect wanakufa na njaa, unajivunia kuuza maparachichi.wewe hunanga substance, ushabiki tu wa kijinga. kwa wanalumumba wewe utakuwa ni mpigadeki.
Hapo ndipo mtanzania utamjua, utafunga mpaka, halafu parachichi utatupa jalalani, halafu mnunuzi ataambiwa akaonyeshe shamba kama hana ataitwa kangomba, na siajabu hata suruali yake mkagawana vitambaa, pathetic country and pathetic thinkingAlafu mbona hayo maparachichi yanatoka huku. ngoja msaini mikataba alafu tufunge mpaka , sijui mtauza nini?
Umetupia maneno ya uchungu mwingi ila kalilie chooni. Eti maparachichi yanasafirishwa na malori kutoka Tz hadi airport Kenya! π Maparachichi na Macadamia ya Export Kenya yanakuzwa kwa vigezo kama vya maua au kahawa. Wakulima hawayapandi kiholela, wanaingia kwenye mikataba na exporters. Huwa yanakaguliwa kutoka shambani. Kuna sheria kuhusu yanavokuzwa na yanavovunwa pia. Wakulima wa Kenya wanalinda soko lao pia na hawawezi kubali huo upuuzi. Mbona maua ya Tz yanapita kwenye uwanja wa ndege Kenya ila yanajulikana wazi kwamba ni ya Tz? Mnajaza pengo la demand ya matumizi ya maparachichi ya kienyeji hapa Kenya tu, sio yale ya export.Substance my feet, watu wenu mmewaneglect wanakufa na njaa, unajivunia kuuza maparachichi.
Na nikwambie kitu, though utabisha, ila ndio ukweli, and i luv this abt nyang'aus, magari yenu yamejaa mashambani kaskazini Tz. Sent using Jamii Forums mobile app
Kupanuliwa kwa Airport hakutasaidia Export Tanzania na tutabaki tunawalimia na kuwafugia wa Kenya kwa miaka mingine 50.Substance my feet, watu wenu mmewaneglect wanakufa na njaa, unajivunia kuuza maparachichi.
Na nikwambie kitu, though utabisha, ila ndio ukweli, and i luv this abt nyang'aus, magari yenu yamejaa mashambani kaskazini Tz, wananunua matunda mob, directly from farmers and they go pack them in Nai and they export them through your airports. Mashamba ya hizi parachichi hizi ndogo ndogo zinapendwa ughaibuni. yapo mengi sana rombo, sanya juu, less than 5hrs from nairobi. Ndio huwa mnachukua matunda huko, other fruits huwa wanayafuata tanga, alafu you take the credit of exporting them.
Angalia figures zenu mnapenda tumia, hata maembe na oranges, pinneaple, beef etc, you will find kenya exports them more, ilhali wanayachukulia Tz, wanasafirisha kwa airport yenu.
But that's about to change soon though, JNIA inapanuliwa na itazidi ukubwa airport yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikwambia picha za instagram na twitter jazitakusaidia, hapa tunadeal na takwimu za kuaminika. na btw, uwache kutoa taarifa mkunduni! ati tz imeombwa 3million tonnes za maparachichi??π±π±π€£π€£π€£π€£ hata Mexico the world's largest avocado producer hawana uwezo huo sembuse tanzagiza! sasa nimeamini haujui chochote wewe.Sisi avocado's zetu zinagombewa ulimwenguni kote wanataka avocado's kutoka Tanzania, juzi TIC institution for international business imepokea zaidi ya maombi ya tons million 3 za avocado's tena wote ni wa Ulaya, America na Asia Pacific bila kusahau UAE, sisi hatuna muda na kasoko Ka Africa sababu hakana maslahi
View attachment 1069161View attachment 1069163View attachment 1069164
My friend kujieleza is not posting 100 links here, one is just enough.This is not only a cooked report but live testimonials from the customers
Hizo takwimu ndo huwa zinawafir sometimes,uhuru yuko zake mauritius anakula bata na gambenilikwambia picha za instagram na twitter jazitakusaidia, hapa tunadeal na takwimu za kuaminika. na btw, uwache kutoa taarifa mkunduni! ati tz imeombwa 3million tonnes za maparachichi??π±π±π€£π€£π€£π€£ hata Mexico the world's largest avocado producer hawana uwezo huo sembuse tanzagiza! sasa nimeamini haujui chochote wewe.
Atakwambia anataka takwimu kutoka world bank WB! haaaaaa hahahaaThis is not only a cooked report but live testimonials from the customers
Boss, nipo kwa hii industry, kama unabisha, haya. Tufanye yaishe, mmeshinda na mnaongoza kila kitu, happy now. Haya peleka parachichi turkana.Umetupia maneno ya uchungu mwingi ila kalilie chooni. Eti maparachichi yanasafirishwa na malori kutoka Tz hadi airport Kenya! π Maparachichi na Macadamia ya Export Kenya yanakuzwa kwa vigezo kama vya maua au kahawa. Wakulima hawayapandi kiholela, wanaingia kwenye mikataba na exporters. Huwa yanakaguliwa kutoka shambani. Kuna sheria kuhusu yanavokuzwa na yanavovunwa pia. Wakulima wa Kenya wanalinda soko lao pia na hawawezi kubali huo upuuzi. Mbona maua ya Tz yanapita kwenye uwanja wa ndege Kenya ila yanajulikana wazi kwamba ni ya Tz? Mnajaza pengo la demand ya matumizi ya maparachichi ya kienyeji hapa Kenya tu, sio yale ya export.
Nyumbu tafaadhali, pisha mijadala ya bin adam.Kupanuliwa kwa Airport hakutasaidia Export Tanzania na tutabaki tunawalimia na kuwafugia wa Kenya kwa miaka mingine 50.
Ukitaka kujua karibu kuexport kutoka Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss, nipo kwa hii industry, kama unabisha, haya. Tufanye yaishe, mmeshinda na mnaongoza kila kitu, happy now. Haya peleka parachichi turkana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ulimaanisha Mauritius, soko jipya la maparachichi ya Kenya. Bora yaishe maanake ulikuwa umeanza kujiabisha, naona umebobea kweli kweli kwenye hiyo industry yenu ya majungu.Boss, nipo kwa hii industry, kama unabisha, haya. Tufanye yaishe, mmeshinda na mnaongoza kila kitu, happy now. Haya peleka parachichi turkana.
Sent using Jamii Forums mobile app