Rais Uhuru ashtukiza wasafiri wa SGR kwa yeye kusafiri humo kwenda Krisimasi Mombasa

Namkubali sana Uhuru,kuna jamaa ataiga apande basi la kwenda chattle
 
Jiwe style yake ya kupanda ndege iliyojaa mashushushu hata tabasamu lake huwa la plastic huwezi kufananisha na route ndefu kama hii ya nrb mbs, angalau jk yule alifanya toka moyoni sio mapichapicha
 
Weak security Alshabab sasa hivi wapo likizo naona... Au hao wanaoonekana kwenye hizo picha wote ni Usalama wa Taifa wanazunga anasalimiana na raia
UNAJICHANGANYA SANA BUDAA
"WEAK SECURITY" then
HAO WOTE WANAONEKANA NI USALAMA WA TAIFA
 
Jiwe kishafanya hv kwenye bombadier na kwenye mwendokasi,tena kwenye mwendokasi alimpandisha hadi rais wa wb siku wanaenda kuzindua ujenzi wa intercharge ya ubungo,jiwe kishafanya yote haya
Basi jiwe akiona hivi sio ajabu na yeye kesho ukamsikia kapanda basi kwenda chato ilimradi tu aonekane ni mtu wa watu
 
Uhuru is the best President in EAC akitanguliwa na Jakaya,

Uhuru sio mshamba, kazaliwa na kulelewa ikulu, ila the rest presidents wa Eac wakiongozwa na Slim ni washamba na pretenders.. wanafki sana
 
Huu ndio Ukweli. Wakenya wapo huru kweli kweli. kuanzia kwenye katiba yao, mahakama zao, viongozi wao nk.

Tanzania ni watumwa wa kutupwa.

Ni bora mkoloni tusiye mjua kuliko udicteta uliopo Tanzania.


Hivi ninapiga picha angekuwa ndiyo Magufuli amepanda train huyo sik train nzima ingejaa askali na usalama wa Taifa? Angepata kweli nafasi ya kupiga selfeeee na walala hao.

Ninahisi hata Rais Magufuli ni Mtumwa wa Uhuru wake, Analindwa sana.. hata uhuru wa kufanya kama Rais Uhuru anayofanya hapati nafasi.

Heko Kenya.

Sisi tunajaribu kwa kumuombea Rais wetu awe na busara na asiwahisi wananchi wake ni wabaya.
 
I hate politics. I will remain technocrat for life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…