Rais Uhuru ashtukiza wasafiri wa SGR kwa yeye kusafiri humo kwenda Krisimasi Mombasa

Inapendeza...

Huku lowassa ndiyo alifanyaga hivyo... kupanda daladala moja na wananchi...



Cc: mahondaw
 
Uhuru ni rais pekee Africa ambaye mimi Mtanzania nampenda sana nanawaonea gele sana Wakenya
 
Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found dead
 
Hio PR imeweza. Hio pr ni ya nguvu jo!
 
Pesa Kadhaa za Bombadia na Air Buse zingeelekezwa kwenye Train Dar Arusha kwa kweli Serikali ingeanza kuingiza Pesa.
Na maanisha Tunge nunua ndege Tatu kwa kuanzia.
 
Umetumia vizuri uhuru wako wa kuongea.
Huo utumwa unaousema upo Tz unaweza kutueleza ni utumwa gani? Pengine watu wanalimishwa mashambani bila ujira na hatujui. Na pia huo udikteta ni upi ilhali umeandika kwa uhuru kabisaa hapa au kuzuiliwa kwenu kutukana viongozi matusi ya nguoni kwa mwamvuli wa demokrasia ndo udiktetaa?
 
Duuh huyu nyang'au yuko vzuri sanaa..angekua rafiki wa mshikaji nafikiri wangekua wanashauriana mambo mazuri sana na uchumi ungepepea wa hizi nchi. Tatizo sasa kufanya urafiki na Nyang'au ni hatari sanaa.
Mshikaji ni mshamba sana
 
So far the best President in EA.
Best presdent aliyejimilikisha ardhi kubwa na kuwasababishia Wakenya wahangaike kwa kutafuta mahala pa kuweka makazi?

Anaendaga kufata nini kule mahakama kuu "THE HEGUE" kama si kesi za kujitwalia nchi sehemu kubwa isivyostahili kwa haki za kibinadamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…