Rais Uhuru ashtukiza wasafiri wa SGR kwa yeye kusafiri humo kwenda Krisimasi Mombasa

,jiwe ana akili sana kumkwepa huyu nyang'au,jiwe yupo kizalendo


Jiwe angekuwa na akili angekuwa anatumia fedha za walipa kodi kwa ufanisi zaidi; haingii akilini kununua ndege zote hizo cash hata bila kuwa na mpango mkakati wa jinsi zitakavyoendeshwa kwa maana ya kuwa na safari zilizopangiwa baada ya utafiti mahususi!! Sasa hizo ndege kweli zitakwenda KIA , Songwe na Mwanza lakini je zitakuwa zinaendeshwa kwa faida au kisiasa? Ingekuwa busara kama angenunua baada ya Bombardier hizo Airbus mbili for Regional routes na hilo DREAMLINER lingengoja baada ya kuona matokeo ya hizi zilizotangulia!!! Fedha zilizotumika kununua hilo DREALINER zingeweza kutumika kuwalipa wafanya kazi mafao yao wanayotabika kila siku kufuatilia bila mafanikio!!
 
Mr President loves reggae music.
Concert za daimon/wasafi huhudhuriwa na vijana %kubwa
 
humble President
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…