Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

dah sikuelewa kwanini alibaki kuwa kimya ahaa kumbe sbb ilikuwa ni hiyo
 
Kuna matendo Muhm ya kuheshimu makund na imani zngne, ndio uongoz
 
Nimeipenda hii rais, muhimu sana kuheshimu dini licha ya yote....

That's a boss move. It prolly was premeditated but it sends a powerful message

Western countries take notes.
 
Uhuru Kenyata ni kama Jakaya, wako social sana

Kuna kipindi alikuwa kwny Ziara mmoja wa waliokuwa wanampokea alikuwa mwana Mama wa kiislam alijaribu kwa heshma kuukwepa Mkono wa Uhuru nae uhuru akaelewa kwa haraka akajiepusha kumpa mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…