Rais Uhuru atuma rambirambi kwa ajili ya wanajeshi 15 wa Tanzania waliouawa

WEWE

WEWE NI MGONJWA WA AKILI TENA SANA TU, WATANZANIA NA WOTE WAPENDA AMANI TUMEPATA AFRIKA MASHARIKI TUMEHUZUNISHWA SANA NA VIFO VYA ASKARI WETU, NI VEMA VYOMBO HUSIKA WAKAKUTAFUTA ULIPO ILI UTOE MAELEZO SAHIHI. HUO SIO UZALENDO.
Mwenye askari walioshambulia ndugu zenu si mnamfahamu?

Ya nini kulaani shambulio badala ya mshambuliaji?

Huu ni upumbavu OG.
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanabodaπŸ˜€..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
Chupi ya Wambui wewe.
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanabodaπŸ˜€..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana

Wewe mpumbavu shika adabu yako. Hawa wanwajeshi waliokufa walijitoa kwa nchi yao na ni kitu ambacho wewe na baba yako hamuwezi labda mtoe tigo. Hawa ni wanaume na wamekufa kwa heshima punguani mkubwa.
 
R.I.P brave soldiers killed in pursuit of a noble duty.

Now suppose the headlines read 15 KDF Soldiers killed in Somalia by Alshabab...what reaction could have been
expected from our now aggrieved southern neighbors?
We would send nothing but our heartfelt, love filled condolences
 
I like Uhuru. Ni mtu poa sana sema tu sometimes anaonekana hafai kwa kuwa Kenya imeathiriwa na ukabila...
Uhuru mwenyewe hana ukabila, cheki mara ya kwanza alipowania urais 2002 support aliyokuwa nayo, haikuwa ndogo vile. Mwai Kibaki ndo alishinda uchaguzi huo. Hata kabila lake mwenyewe halikumpa Uhuru kura. Licha ya hayo yote kabla ya kura zote kuhesabiwa Uhuru Kenyatta alienda live on tv akampongeza Mwai Kibaki na akakubali kushindwa. Huo ndo ulikuwa uchaguzi wa kwanza Kenya ambapo matokeo hayakupingwa na upinzani.
 
Kumbe anaitwa pia Muigai, eeh? Wajaluo wameshaanza kunywa maziwa yake?, au bado wamegoma?

Wasipokunjwa maziwa yake watashikwa na ugonjwa wa kwashakoo! Wale wanaowashauri wasinywe maziwa wao wanakunywa na siaga ya ngombe ni mbele na mafuta ya olive!
 
Pole zangu kwa familia zilizolifiwa. lakini jaribu kutembelea nyuzi za KDF huko somalia wakipatwa na janga. kejeli za kufa mtu utoka kwa watanzania wanaojifanya malaika kwa uzi huu. zamu kwenu mnaojifanya wajuaji kivita na kupiga vifua JF!!!! pathetic pretenders!!! rest in peace gallant soldiers.
 
Sijamuona Geza Ulole kwenye huu uzi vile hujitokeza na multiple messages na picha nyingi wakati KDF imeshambuliwa. kadoda tuletee picha za TPDF pia sisi tuhisi mnavyohisi KDF wakishambuliwa...Pride comes before a fall ferkerz.
 
My friend, try to understand these are two different cases,
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanabodaπŸ˜€..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
Unaongea kwa ushabiki halafu hujui unachosema. An ambush is an ambush. Kwa mfano KDF lost alot of soldiers when they were ambushed at night in their camp.

Tunapoongelea haya mambo tuweke siasa pembeni maana maisha ya askari ambao wanatimiza wajibu wao yanapotea na pengine wanaumia na kubaki vilema daima.

Tuwaombee wapumzike kwa amani. Tushabikie mambo mengine ila haya ya usalama busara itumike. Unajua namaanisha nini
 
WEWE

WEWE NI MGONJWA WA AKILI TENA SANA TU, WATANZANIA NA WOTE WAPENDA AMANI TUMEPATA AFRIKA MASHARIKI TUMEHUZUNISHWA SANA NA VIFO VYA ASKARI WETU, NI VEMA VYOMBO HUSIKA WAKAKUTAFUTA ULIPO ILI UTOE MAELEZO SAHIHI. HUO SIO UZALENDO.
Nani alikwambia uzalendo unalazimishwa? Hebu uwe na uwezo wa kuvumilia hoja kinzani
 
My friend, try to understand these are two different cases,
Kuelewa nini kifo ni kifo. Hamna tofauti. ukifa ni basi. badala ya kutoa pole watanzania hapa JF huwa ni ushabiki na kejeli kwa Kenya. sasa watanzania wamechijwa huko congo. sipendi mtu kijifanya zuzu haelewi wakati jirani yako uaombolezi nawe washambikia. uchungu mnaopata sasa sawa na tunaopata mkishambikia kuuawawa wakenya somali!!
 
bwana wee, utandanganya watanzania kwa jukwaa zao. Tunaoishi kenya you sound like you are from mars, tarumbeta tulizozoaea kwa malipo zinapiga nyimbo iliyoandikwa kwake!!!!!
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanabodaπŸ˜€..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
Ingia anga zao ***** ,kama hujatoboka hiyo ku...du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…