Rais Uhuru atumia Coronavirus kumbomoa William Ruto

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Ni dhahiri wazi Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya anatumia lockdown kuvunja nguvu ya hasimu wake mkubwa wa kisiasa William Ruto.

Wafuasi wa Ruto ama yeyote mwenye mwelekeo wa kumpinga Rais Uhuru Kenyatta hawaruhusiwe kukutana a ma kufanya mikutano. Ila Rais Uhuru Kenyatta ameonekana na wakenya wengi amewaletea umasikini mkubwa na hii lockdown yake.
 
Sasa tatzo la uhuru ni lockdown kwa kuletea umasikini wakenya au ni kulock down ruto? Fafanua uzi wako kiufasaa na kwa nini a-block Ruto na umetumia maono gani kuusu uthibitishaji wako kuhusu wawili hawa.
 
Baada ya lockdown serikali ya Kenya kuweka Rais Uhuru Kenyatta alianzisha rasmi kampeni ya kuwashughulikia maseneta na wabunge wote wanaomuunga William Ruto kwa kuwaondoa kwenye kamati muhimu. Fahamu kuwa wafuasi wa Ruto hawaruhusiwe kufanya mkutano wowote ila Uhuru Kenyatta na wafuasi wake wakifanya mikutano. Leo imetolewa na infotrack maoni ya kuonyesha wakenya wengi wamekuwa masikini na hii lockdown ya Rais Uhuru Kenyatta ambayo ipo kisiasa zaidi.

Kenyans say virus hurts livelihood more than health - poll
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…