Rais Uhuru awapa Wamarekani darasa kuhusu demokrasia na BBI, wana mengi ya kujifunza kutoka Kenya

Rais Uhuru awapa Wamarekani darasa kuhusu demokrasia na BBI, wana mengi ya kujifunza kutoka Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa sasa dunia ina mengi ya kujifunza kutoka Kenya, tulibuni Mpesa sasa imezagaa, juzi tumeanzisha BBI na tayari mataifa kadhaa yameanza kujifunza kutoka kwetu.

Juzi niliona taarifa za Museveni akisalimiana "handshake" na wapinzani, pia Tanzania juzi nimesoma kwamba kiongozi wa upinzani amemuandikia rais wao barua ya kuomba maridhiano

=====

President Uhuru Kenyatta has said the US can learn a lot from the Building Bridges Initiative.

Uhuru on Wednesday said the BBI model is a unique one that should be adopted internationally.

Speaking at the Atlantic Council Forum in the US on Wednesday, Uhuru said the model provides a unique ground on how international communities make their judgement about politics not only in Kenya but across the African continent.

He said the initiative is a key pillar to the political and social governance engineering.

“This is a homegrown solution for a divisive political culture that has bred conflicts. It is the best way to preempt further escalation in political competition,” Uhuru said.

He added that the other goals of the BBI were to strengthen the center through inclusivity and deliver bold reforms that also enhance economic growth.

Uhuru explained that the country had decided to ensure that the country's social contract fits the political circumstances of the country.

"We have realised that first-past-the-post form of election competition is not sustainable for our country," Uhuru said.

The President said that Kenya was fixing its socio-political structure as a platfotom for sustainable economic development.

Uhuru said when he resolved to unite with ODM leader Raila Odinga for this initiative only a few believed it was possible.

“We are focusing on using inclusivity to strengthen the centre of politics. We want a country where leaders can have the willingness to compromise to disorient politics of extremism,” he said.

“This initiative further looks at bold reforms that advance inclusion, eliminate corruption. I there ask you as a council to delve deeper into the initiative,” he added.

Uhuru said so far other countries are seeking to learn from Kenya and as a government they have been open to sharing.

“I dare you to imagine and support African driven solution. Resist from being drawn into proxy struggle with other states and support Africa,” Uhuru said.

Source: The Star
 
I refuse to board this BBI bullshit. Mbona vurugu hazitokei wakati Kama huu Ila siku za uchaguzi? This is one clear sign that those leaders are the source of our problems. Hii bbi ni ya viongozi sio wananchi...to hell with Moi ,Uhuru, Ruto, Raila, Magufuli, Nyerere, Mandela,Kabila, Museveni and other despots purporting to have our interest at heart.
Tutaishi masikini Kama Hawa watu watazidi kututawala.
 
I am also not boarding this sh#t. Wanapoteza muda wao bure, naona ni kama hawa watu wamesahau rangi kamili za wakenya. Rais Uhuru atajiabisha sana na huu upuuzi maanake itafika wakati ambapo wakenya wataikanyaga kweli kweli kupitia mahakama. Where is Omkiya Omtata? Ndio maana hata kama sitakuwa pamoja na William Ruto 2022 nipo tayari kwa sasa kuungana na kambi yake ili tuitafune BBI kutoka ndani.
 
Beba Baba Ikulu ni upuuzi mtupu. I'm not boarding. hizo vitu zote wanajaribu kurekebisha zipo kwenye katiba, mbona wasitekeleze katiba sawa sawa?
 
I refuse to board this BBI bullshit. Mbona vurugu hazitokei wakati Kama huu Ila siku za uchaguzi? This is one clear sign that those leaders are the source of our problems. Hii bbi ni ya viongozi sio wananchi...to hell with Moi ,Uhuru, Ruto, Raila, Magufuli, Nyerere, Mandela,Kabila, Museveni and other despots purporting to have our interest at heart.
Tutaishi masikini Kama Hawa watu watazidi kututawala.

Binafsi bado naisoma, ila there are lots of nice stuffs not related to election or even violence, we seriously need to have this conversation as a country.
 
Huu uzi Wakenya wenyewe mtaparuana sisi tutakuwa watazaji. Ruto ana wafuasi wanaowatesa Uhuru na Odinga.
 
Binafsi bado naisoma, ila there are lots of nice stuffs not related to election or even violence, we seriously need to have this conversation as a country.
unaisoma kivipii na hakuna copy hata moja iliyochapishwa? huu ndio upuuzi unao nikera. hivi sasa wanasiasa wapo busy kwenye mikutano lakini hakuna mkenya wa kawaida aliye na copy wanaongea kuhusu nini.
 
USA per Capital income > 60 000 USD vs Kenyas < 3 000 USD, ...
 
USA per Capital income > 60 000 USD vs Kenyas < 3 000 USD, ...

Hela ni muhimu kwenye maisha, lakini sio kila kitu kinasuluhishwa kwa matumizi yake, lazima uzingatie na mengine pia, na kama hauelewi, fuata huu uzi hapa wa Mtanzania mwenzio
 
Huu uzi Wakenya wenyewe mtaparuana sisi tutakuwa watazaji. Ruto ana wafuasi wanaowatesa Uhuru na Odinga.

Watu waliostaarabika hubishana kwa hoja na kukubali kutokukubaliana, sio kama kwenu huko kila mtu anaimbishwa mapambio ya misifa.
 
Yani mtu anpinga kitu ambacho hta haja kisoma...yani nimesikitika sana na watu ambao wao milele ni fuata nyayo, yani mtu mzima usikae chini ukajisomea kitu na ukaelewa vizuru...

Eti unakuja kupayuka majukwaani bila statement yyte ya maana kisha mwisho unamalizia, "hzo copy ziko wapi"
Km sio uhayawani ni nn huo jamani[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waliostaarabika hubishana kwa hoja na kukubali kutokukubaliana, sio kama kwenu huko kila mtu anaimbishwa mapambio ya misifa.
Mk254...
Usibishane na mtu ambae hajui hicho kitu hta kinakaaje..kazi yao ni kufuata maneno ya majukwaani tu, eti BBI imbebe mtu awe rais[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kura brathe ndi ina matter, hata kama mtu ataiba lkn bado tutajua na ushawishi kwenye majimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
40%+ of the Kenyan voter chose someone else other than Jubilee and that has been happening for decades. As it stands right 40%+ of the Kenyan population have no say in how the government is run.

In what world is that ok?

Proportional representation is essential for Kenya

When you switch off from the daily media hype some things become crystal clear.

You might not like how or who is proposing the changes but it's disingenuous to argue against the changes
 
Hela ni muhimu kwenye maisha, lakini sio kila kitu kinasuluhishwa kwa matumizi yake, lazima uzingatie na mengine pia, na kama hauelewi, fuata huu uzi hapa wa Mtanzania mwenzio
Wakenya kibao wanafurahia mkikumbwa na mabaya, tunasoma twitter, kenya forum etc.
So don't think y'all are special, you're worse.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mtu anpinga kitu ambacho hta haja kisoma...yani nimesikitika sana na watu ambao wao milele ni fuata nyayo, yani mtu mzima usikae chini ukajisomea kitu na ukaelewa vizuru...

Eti unakuja kupayuka majukwaani bila statement yyte ya maana kisha mwisho unamalizia, "hzo copy ziko wapi"
Km sio uhayawani ni nn huo jamani[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
We should be implementing the Constitution not the bbi https://jamii.app/JFUserGuide. If they have been unable to follow the Constitution, how do we trust them to follow up and implement that isht invented by greedy politician losers?
Wakenya kibao wanafurahia mkikumbwa na mabaya, tunasoma twitter, kenya forum etc.
So don't think y'all are special, you're worse.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wako proactive and unafraid. Mini sijaona Twitter za Tz watu wakipibga serikali mtu asije akafuatwa na kupotezwa so don't compare us to you losers.
 
Yani mtu anpinga kitu ambacho hta haja kisoma...yani nimesikitika sana na watu ambao wao milele ni fuata nyayo, yani mtu mzima usikae chini ukajisomea kitu na ukaelewa vizuru...

Eti unakuja kupayuka majukwaani bila statement yyte ya maana kisha mwisho unamalizia, "hzo copy ziko wapi"
Km sio uhayawani ni nn huo jamani[emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
99% of Kenyans do not have access to the internet, so they haven't read that your BBI. where are the copies that Uhuru said kila mtu ajisomee?
my opposition to BBI is purely based on what the politicians are saying.
 
Stop exaggerating,
99%!!!!!

Hawa wanacomplain hapa ni wale wale walivotia JUBILEE into power,
Sahii tunaumia wote.
 
99% of Kenyans do not have access to the internet, so they haven't read that your BBI. where are the copies that Uhuru said kila mtu ajisomee?
my opposition to BBI is purely based on what the politicians are saying.
Duh!!99%!!
Endelea kuwasikiza wanasiasa, watakusomea BBI utaijua vizuri tu...
Km vile "watu kujitafutia madaraka"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom