komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wanajitia upofu sahii, na wakati waliambiwa hawakusikia...walimuona uhuru sijui km naniStop exaggerating,
99%!!!!!
Hawa wanacomplain hapa ni wale wale walivotia JUBILEE into power,
Sahii tunaumia wote.
Ona sasa vile jubilee wanatutese mitaaani
Sent using Jamii Forums mobile app