Rais Uhuru awatangazia Kenya kutegemea mabadiliko makubwa karibuni: Makamu wa Rais Ruto anaondolewa? Odinga anarudishwa Serikalini?

Huwezi kumlinganisha Uhuru na Magufuli. I remember to have said it here sometime that both guys come from different historical backgrounds.

The guys have different mentality and attitude. When one believes in consensus as the way of reaching decisions, the other one believes in coercion and bullying to achieve his goals.

When one favours dialogue and tolerance as the approaches to dealing with his political opponents the other guy prefers intimidation and repression as political tools to crush the opposition.

So the two have vividly contrasting character that keeps them miles apart.
Blah blah tu na kiingereza chako, hakuna sense unamake kwa watu wenye akili zetu.
We have seen best and worst presidents around the world , none of these two are in those levels. Zaidi sana una mhemko wa siasa za kibongo ndio maana unawaza hivyo.
 
Ungeonekana wa maana sana kama unge-challenge hoja nilizoandika kwa hoja kuliko ku-attack my personality.

Kwani kwa hiyo ramli unayopiga unaona nimemsifia nani na kumponda nani.
That's my personal opinion reflecting my personal view and I think I'm at liberty to do that.
 
Huna hoja ya kuchalenjiwa, una vihoja, soft people hamjawahi experience dictatorship, magu ana wapet pet hapa, mshaanza kulia. Uhuru successful president? Guys acheni ujinga.
Magu akaze zaidi.
 
Na wametoka kwenye maisha tofauti kabisa
Uhuru amelelewa kutoka katika familia ya utawala tangu babu yake
Ameandaliwa tangu Mtoto
Haa, Mkuu, Uhuru ameandaliwa tangu mtoto, unajua Moi alimkuta kwenye hali gani ili aje awe raisi? Definitely not presidential material.
 
Huwezi kumlinganisha Uhuru na Magufuli. I remember to have said it here sometime that both guys come from different historical backgrounds.

The guys have different mentality and attitude. When one believes in consensus as the way of reaching decisions, the other one believes in coercion and bullying to achieve his goals.

When one favours dialogue and tolerance as the approaches to dealing with his political opponents the other guy prefers intimidation and repression as political tools to crush the opposition.

So the two have vividly contrasting character that keeps them miles apart.
Mkuu, "the two have vividly contrasting character that keeps them miles apart." is an understatement of the century - it keeps them galaxies apart!
 
Vipi Midanganyika na Albino...Nyama ya Binadamu huwa inaonja aje?
 
Back
Top Bottom